Uchaguzi CCM: Mafisadi katika rangi nyingine

Uchaguzi CCM: Mafisadi katika rangi nyingine

Kama wamemwacha Mako basi Mungu na awape upofu wote kwasababu mtu pekee ambaye angefumua mfumo mzima alikuwa ni yeye peke yake ama sivyo Ukawa tujitahidi sana tujaze wabunge wa kutosha ili kuibana serikali
 
Doo!

Umeandika statement nzito sana tena kwa kujiamini halafu unaishia kusema hakuna haraka?

"Kwanza Magufuli hatatangazwa. Na akitangazwa bado hana ujanja wala uwezo wowote kikatiba wa kuacha kusimamia sera za ccm ambazo ni kulinda maslahi ya chama, matakwa ya chama kwanza, kwa kuwatumia wananchi"

Hakuna haraka. Soon utapata jibu!.
 
Ccm haiwezi kuleta maendeleo Tanzania kwa sababu ni kundi la mafia likitawaliwa na ufisadi.

Kipenzi cha waliowengi ni nani? Lowasa ni fisadi nambari moja ambaye ameua taifa letu.

Magufuli hata akichaguliwa ccm Watanzanai hatumpigii kura kwa sababu anatumwa na mafisadi kama vile Sita kwenye katiba mpya. Hata kama atakuwa na nia nzuri hanaubavu kwa kuwa ni lazima afuate kanuni na itikdadi za ccm ikiweomo ufisadi, kulindana na kuwanyonga wananchi kwa maslahi ya ccm.

Magufuli, Asha, Amina wala mtu yeyote ccm hawawezi kulikomboa taifa kwa kuwa ndio walioliua makusudi. Lowasa, Kikwete, Rostam Aziz, Chenge, Karamagi, n.k hao ni mafisadi Nyangumi ambayo ndiyo kwa kuwa yamekosa kutawala moja kwa moja, yataendelea ku control mtawala atakayekuwepo kama alivyokuwa Anna Makinda bungeni.

Ccm hatuwachagui hata wavae manyoya!.

Sasa hivi tunachagua UKAWA tu, kuanzia raisi hadi diwani!.

Tunataka Tanzania Yetu, na si ya Mafisadi.

Prove ufisadi Wa lowassa kwa facts!!!!!!
 
Prove ufisadi Wa lowassa kwa facts!!!!!!

Jizoeshe kusoma siyo kuishi kwa propaganda. Tafuta report ya Mwakyembe na viambatishi vyake vyote halafu utunge swali lako sasa kwa upya!.

Tena mnabahati hamjamsimamisha lowasa. Mgeomba UKaWa wapewe ushindi wa mezani kuliko aibu ambayo mngeipata!. Mshukuruni sana Mungu japokuwa hata sasa mnapoteza, lakini si kwa aibu kama ile mngeipata kwa Lowasa.
 
Back
Top Bottom