Uchaguzi CCM: Mafisadi katika rangi nyingine

Uchaguzi CCM: Mafisadi katika rangi nyingine

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,899
Ninaangalia katika tatu bora, sioni ccm wala mweelekeo wa Tanzania mpya ya Watanzania.

Kwanza Magufuli hatatangazwa. Na akitangazwa bado hana ujanja wala uwezo wowote kikatiba wa kuacha kusimamia sera za ccm ambazo ni kulinda maslahi ya chama, matakwa ya chama kwanza, kwa kuwatumia wananchi. Hapa bado mafisadi aliolitesa taifa kwa miaka kumi ya Kikwete watakuwa wakiendesha usukani wa taifa wakiwa wamevaa gloves zinazoitwa magufuli. Mfano HALISI NI SITA ALIVYOFANYWA ALIPOJIDAI KUSIMAMIA MASLAHI YA NCHI AKIWA SPEAKER WA BUNGE LA HAMHURI NA ALIVYOKUJA KUSHIKA ADABU KWA MAFISADI KAMA ALIVYODHIHIRISHA KWENYE BUNGE LA KATIBA.
Hakuna unafuu wala matumaini mema hapa.

Asha Rose migiro, hajawahi kufanya jambo lolote likafanikiwa katika nafasi zote alizowahi kushika ndani na nje ya nchi. Mara zote amekuwa akibebwa na jk na hili lipo dhahiri alipopigiwa debe kwa Ban Kimoon, akaonekana kama candidate sahihi lakini mwisho wake akashindwa kazi na kurudi home kabla ya muda wake.

Huyu hana ubunifu, maono, nia wala uwezo wa kuliondoa taifa kwenye mkwamo ambao naye ni mmoja wa wakwamishaji wake. Vilio vya Watanzania Asha hawezi kuvikwepa kwa sababu vyote vimetokea akiwa kwenye mifumo na hajawahi kuonyesha kujali wala kukerwa na lolote linaloleta kilio kwa taifa.

Bi Amina, hata haijulikani katokea wapi. Ninaomba nisimseme ila ninatahadharisha umma kwamba huu ndio mwendelezo wa teuzi za Jk. Watu ambao amekuwa akiwateua ndio waliolifikisha taifa letu mahala tulipo.

Kuwaweka mbele hawa wanawake, na ambao mmja wao atatangazwa leo, ni kuendeleza kutawala wa jk na mafisadi kama ilivyokuwa kwenye Bunge la jamhuri kupitia mama Anna Makinda..

Wanaweka wanawake mostlikely Asha Rose Migiro ua Bi Amina ili mafisadi waendelee kutawala nchi kama ilivyokuwa kwa speaker wa bungu Anna Makinda. Na ndiyo siri ya tranquility ya Lowasa na mafirauni wengine mnaowajua. Ni mbinu iliyopangwa kutumiwa katika ulinzi wa interests na maamuzi yao, baada ya kuona kelele zimezidi.

Kwa kumpa uongozi yeyote kati ya hawa, bado mafirauni watafanya sherehe kama walivyofanya kwa Anna Makinda. Na sote tumeshudhudia alivyowafanikishia.

CCM haiwezi kutujengea Tanzanai tunayoitaka hata kama ingemsimamisha nani kwa kuwa mfumo wake hauruhusu maendeleo zaidi ya kuhakikisha usalama wa mafisadi.

WATANZANIA TUCHAGUE UKAWA KUANZIA RAISI, MBUNGE HADI DIWANI!. Mafisadi wasiendelee kutuumiza.
 
Ni kweli mkuu hapo umenena kweli dawa ni kuchagua chama kingini kitawale nchi hii
 
Kwa kikwete kuwa rais kweli watanzania tulikosea kweli kweli na makosa haya yataitafuna inchi kwa takribani miaka 20, nusra labda ukawa ifanikiwe!!!

**atleast afanikiwe magufuri kwa urais iwe ni ngumu to be driven or remoted then kwa shukrani aturejeshee kipenzi cha waliowengi kama waziri mkuu.
Ndipo tumaini la watanzania wengi lilipoo na wala asipuuze!!!tunahitaji kasi ya kutosha ktk kushindana na mataifa mengine kimaendeleo!!!
 
Hata yeye ataendeshwa tu,
Ndo maana wanaogopa kuwakubali baadhi ya waomgombea kwa kuwa wanafahamu fika si rahisi kupelekeshwa.
 
Una maana gani kusema magufuli hatatangazwa?

Ninaangalia katika tatu bora, sioni ccm wala mweelekeo wa Tanzania mpya ya Watanzania.

Kwanza Magufuli hatatangazwa. Na akitangazwa bado hana ujanja wala uwezo wowote kikatiba wa kuacha kusimamia sera za ccm ambazo ni kulinda maslahi ya chama, matakwa ya chama kwanza, kwa kuwatumia wananchi. Hapa bado mafisadi aliolitesa taifa kwa miaka kumi ya Kikwete watakuwa wakiendesha usukani wa taifa wakiwa wamevaa gloves zinazoitwa magufuli. Mfano HALISI NI SITA ALIVYOFANYWA ALIPOJIDAI KUSIMAMIA MASLAHI YA NCHI AKIWA SPEAKER WA BUNGE LA HAMHURI NA ALIVYOKUJA KUSHIKA ADABU KWA MAFISADI KAMA ALIVYODHIHIRISHA KWENYE BUNGE LA KATIBA.
Hakuna unafuu wala matumaini mema hapa.

Asha Rose migiro, hajawahi kufanya jambo lolote likafanikiwa katika nafasi zote alizowahi kushika ndani na nje ya nchi. Mara zote amekuwa akibebwa na jk na hili lipo dhahiri alipopigiwa debe kwa Ban Kimoon, akaonekana kama candidate sahihi lakini mwisho wake akashindwa kazi na kurudi home kabla ya muda wake.

Huyu hana ubunifu, maono, nia wala uwezo wa kuliondoa taifa kwenye mkwamo ambao naye ni mmoja wa wakwamishaji wake. Vilio vya Watanzania Asha hawezi kuvikwepa kwa sababu vyote vimetokea akiwa kwenye mifumo na hajawahi kuonyesha kujali wala kukerwa na lolote linaloleta kilio kwa taifa.

Bi Amina, hata haijulikani katokea wapi. Ninaomba nisimseme ila ninatahadharisha umma kwamba huu ndio mwendelezo wa teuzi za Jk. Watu ambao amekuwa akiwateua ndio waliolifikisha taifa letu mahala tulipo.

Kuwaweka mbele hawa wanawake, na ambao mmja wao atatangazwa leo, ni kuendeleza kutawala wa jk na mafisadi kama ilivyokuwa kwenye Bunge la jamhuri kupitia mama Anna Makinda..

Wanaweka wanawake mostlikely Asha Rose Migiro ua Bi Amina ili mafisadi waendelee kutawala nchi kama ilivyokuwa kwa speaker wa bungu Anna Makinda. Na ndiyo siri ya tranquility ya Lowasa na mafirauni wengine mnaowajua. Ni mbinu iliyopangwa kutumiwa katika ulinzi wa interests na maamuzi yao, baada ya kuona kelele zimezidi.

Kwa kumpa uongozi yeyote kati ya hawa, bado mafirauni watafanya sherehe kama walivyofanya kwa Anna Makinda. Na sote tumeshudhudia alivyowafanikishia.

Je NDIYO TANZANIA TUNAYOITAKA?
 
ni aibu watanzania kuendelea kuwaza kuwa ni ccm pekee inayoweza kutawala nchi.
 
Ccm haiwezi kuleta maendeleo Tanzania kwa sababu ni kundi la mafia likitawaliwa na ufisadi.

Kipenzi cha waliowengi ni nani? Lowasa ni fisadi nambari moja ambaye ameua taifa letu.

Magufuli hata akichaguliwa ccm Watanzanai hatumpigii kura kwa sababu anatumwa na mafisadi kama vile Sita kwenye katiba mpya. Hata kama atakuwa na nia nzuri hanaubavu kwa kuwa ni lazima afuate kanuni na itikdadi za ccm ikiweomo ufisadi, kulindana na kuwanyonga wananchi kwa maslahi ya ccm.

Magufuli, Asha, Amina wala mtu yeyote ccm hawawezi kulikomboa taifa kwa kuwa ndio walioliua makusudi. Lowasa, Kikwete, Rostam Aziz, Chenge, Karamagi, n.k hao ni mafisadi Nyangumi ambayo ndiyo kwa kuwa yamekosa kutawala moja kwa moja, yataendelea ku control mtawala atakayekuwepo kama alivyokuwa Anna Makinda bungeni.

Ccm hatuwachagui hata wavae manyoya!.

Sasa hivi tunachagua UKAWA tu, kuanzia raisi hadi diwani!.

Tunataka Tanzania Yetu, na si ya Mafisadi.

Kwa kikwete kuwa rais kweli watanzania tulikosea kweli kweli na makosa haya yataitafuna inchi kwa takribani miaka 20, nusra labda ukawa ifanikiwe!!!

**atleast afanikiwe magufuri kwa urais iwe ni ngumu to be driven or remoted then kwa shukrani aturejeshee kipenzi cha waliowengi kama waziri mkuu.
Ndipo tumaini la watanzania wengi lilipoo na wala asipuuze!!!tunahitaji kasi ya kutosha ktk kushindana na mataifa mengine kimaendeleo!!!
 
Hakuna mtu atatoka ccm akomboe taifa. Wote wameshirikiana kuliua taifa. Hakuna mwenye dhamira safi wala uwezo wa kuiponya nchi kwa sababu kinachoongoza ni mfumo. Huyo kiongozi wa ccm analazimika kulinda maslahi na itikadi za ccm ambazo ni kuteteana , kulindana, ufisadi, uwongo, hadaa, udanganyifu, wizi na uonevu kwa Watanzania kwa kulinda chama chao na wanachama chao. Angalia Green Guards, wamefanya madhara mangapi, nani kasimama n akuwakemea ziadi ya kuamrisha jeshi la polisi liwalinde?

Uharamia wote dhiid ya taifa wameufanya pamoja, nani kati ya hao unaowaita hawawezi kupelekshwa alisimama kukemea? Msidanganyikie.

Ccm kama kuna mtu wamemwacha, si kwamba atakisaliti chama na itikadi zao. Mfano Lowasa ni fisadi nambari moja, jizi na danganyifu kuliko wana ccm wote. Limeutibia fedha zetu kwa mikataba na makampuni fake ya Richmond, hadi leo limegoma eti haliijui Richmond. Hili ndio dude la kulipa nchi?

Kama ccm wameyaacha mafisadi mengine, si kwa sababu yangesalisti chama kwa sababu mfumo huo ndio yanaupenda kwa manufaaa ya yenyewe na mafirauni. Ispokuwa ni kwa kuwa wameyaona yataanza kuwalipizia visasi kwa tofauti zao binafsi ili kukomoana lakini si kwa sababu yana uchungu na taifa. Yatalipizana visasi kwa makosa waliyofanyiana binafsi kwenye migawo yao ya kifisadi lakini si kwa maslahi ya taifa. Na malipizano ya visasi hivyo, kamwe yasingekuwa na maslahi ya taifa, zaidi ya kuimarisha mifumo ya kifisaid.

Wanyama pori wanapogombana na kuuana, si kwamba mmoja wao atakuwa anatetea binadamu au mashamba ya watu yasiharibiwe. Ccm hata kama wengekosana, watapigana na kukomoana wao kwa wao lakini kamwe si kwa sababu mmoja kawa na uchungu na nchi kwa sababu wananchi ndilo shamba lao la misukule. Ugomvi wao kwa lugha nyingine ni kaika mgawanyo wa maslahi na fursa miongozi mwao lakini haina maana wanaacha kuwafisadia Wananchi.

Ccm ni kkundi la mafisadi no matter what, na halifai kuongoza nch iyetu.

Wtanzania tunapiga kura kuanzia Raisi, Mbunge, hadi Diwani kutoka UKaWA, tujenge nchi yetu kwa mfum mpya.

Hata yeye ataendeshwa tu,
Ndo maana wanaogopa kuwakubali baadhi ya waomgombea kwa kuwa wanafahamu fika si rahisi kupelekeshwa.
 
Tatizo tulilonalo Tanzania sio hasa kutoka upande wa CCM ila System, kwa alivyo magufuli sion kama ataweza kuibadiri system ya ccm maana walaji ni wengi pale na usikute washakubaliana mamvia apoe atapata kitu pale serikalin so bado mambo yataendelea kuwa yaleyale
 
Ninarudia kusema ccm hata impitishe nani hakuna atakayesaliti mfumo fisadi asimame kwa Watanzania. Mfano Sita kwenye Bunge na walichomfanya. Angalie alivyolinda mafisadi kwenye BMK. Makinda alivyotumika kulinda mafisadi kwenye Bunge. Ccm ni kundi la mafisadi haliwezi kuleta maendeleo ya nchi hata angepita nani.

Sokoinie alikataa ufirauni, Dr. Mgimwa, Dr. Kibona, n.kn.k.

Ccm ni chombo mafia. Hata angepita nani hana maslahi hkwa taifa ni mtume wa mafisadi tu.

Sasa Watanzania tunachagua UKAWA, kuanzia Raisi, Mbunge hadi Diwani.

Hatutaki hadaa za ccm. Na hapa nawakumbusha Watanzania wasije kuhadaiwa eti Kawekwa magufuli, Asha na nani sijui. Fahamuni kwamba ahwa watakuwa wamewekwa kama sura lakini kina Lowasa, Jk, Karmagai, Rostam, Chenge, RitzI, Epa, Escrow, Richmond, wako nyuma ya pasia wanaendesha usukani wakiwa wamevaa gloves tu.

Hamna jema. . . . .We ulipenda nani apite??!!!
 
Mkuu, hakuna mtu ataweza kuibadili itikadi na mifumo ya ccm kwa kuwa hizo ndizo sera za chama chake. Na wote hawa kina magufli ni lazima wafuate sear za chama ama la, wanaweza kumfanya kama walivyowafanya wengine waliojaribu kuwa tofauti. Mwangalie Sita wakati akiwa speaker wa bunge nini kilmpata na akasalimu amuri na kuwa mtii kama kivuli kwenye BMK.

ANGALIA MAMA MAKINDA LAIVYOTUMIKA KAMA DODOKI KUHAKIKISHA MAFISADI WAKO SALAMA!.

Cch haiwezi kubadilishwa na mtu mmoja. Na hakuna mteule wa ccm atakayesaliti misimamo ya chama chake.

DAWA TUCHGUE UKAWA KUANZIA RAISI, MBUNGE HADI DIWANI. MAFISADI tuwaondeo kabisa kwenye utawala wetu badala ya kuaza kusema labda fula labda fulan i kama kwamba sisi sote ni majuha tusiojua maana ya mifumo katika utawala.

Tatizo tulilonalo Tanzania sio hasa kutoka upande wa CCM ila System, kwa alivyo magufuli sion kama ataweza kuibadiri system ya ccm maana walaji ni wengi pale na usikute washakubaliana mamvia apoe atapata kitu pale serikalin so bado mambo yataendelea kuwa yaleyale
 
Ccm wameamua kuweka watu wengine mbele ili mafisdi kina lowasa, rostam, tiz, jk, n.k waendelee kuongoza nchi kwa mkono wa ndani.

Watanzania hakuna sababu ya kuanza kuumiza kichwa na mafisadi na mifumo yao. Tunajua yamekubaliana kuwaweka hawa ili kuondoa kelele lakini hawana ubavu wa kubadilisha chocohte kinyume na Jk, Lowasa, Kingunge, Rostam na mafisadi wengine.

TANZANAI SI MALI YA CCM BALI NI MALI YA WATANZANIA WOTE. CCM FISADI HATUWAPI NCH TENA.
NA HAPA NINATOA ANGALIZO KWA WATANZANIA ILI KWA PMAOJA TUSIHANGAIKE KUWAZA JUU YA CCM KWA KUWA HAINA JIPYA.

SASA TUCHAGUA UKAWA KUANZIA RAISI, WABUNGE, HADI DIWANI ILI TUPATE TANZANAI TUITAKAYO!.

Back
Top Bottom