Kabisa mfumo wa kikoloni sana.. katiba ya mwaka 77 mpaka leo hii tunaitumiaHaya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Huwezi pata katiba mpya kwa hii siasa majitaka..inabd kuwe na vyombo huru
Sitokuja kupiga tena kura chini ya hii Katiba mbovu ya ccm ya mwaka 1977! Enough is enough.
Nakumbuka nilipiga kura kwa mara ya mwisho 2015. Na kamwe sijutii! No Katiba Mpya ya Wananchi, no kupiga kura.
Vitakuja kupitia mabadiliko ya katiba.rasimu ya wariobaVyombo huru vinakuja je?
CCM hawataki hilo litokee. Lengo lao kuendelea kulamba asali wao na familia zao.Vitakuja kupitia mabadiliko ya katiba.rasimu ya warioba
Sio sahihi kumuangushia mzigo huu Mwalimu kwasababu yeye alifanya yake kwa wakat wake na katiba ya hovyo iliwekwa kipind kile ambayo ni chama kimoja na sio ya vyama vingi, na baada yake waliokua na dhamana walipaswa kulifanyia kaz na sio mstaafu aje alifanyie kaz!!Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Ni kweli unachosemq mabadiliko ya katiba kwa serikali ya CCM ni ndotoCCM hawataki hilo litokee. Lengo lao kuendelea kulamba asali wao na familia zao.
Madiliko ya katiba hayawezi kuja au kuwa kwa hisani ya CCM.
Ni kweli unachosemq mabadiliko ya katiba kwa serikali ya CCM ni ndoto
Izo movement pia znapigwa vita sana..hakuna uhuru wa kujieleza na vyombo kama mahakama havifanyi kazi kwa uhuru na transparencyMovement iliyodhamiria kudai katiba mpya kama agenda pekee ndicho kinaweza kuwalazimisha kufanya tunachotaka. Hawa si wa kuwaomba kuwarai au kuwalilia.
Izo movement pia znapigwa vita sana..hakuna uhuru wa kujieleza na vyombo kama mahakama havifanyi kazi kwa uhuru na transparency
ACT wako busy kuzunguka baadhi ya maeneo kutafta maon kuwa wajitoe au wasijitoe kwenye serikali yao ya umoja wa kitaifa huko zanzibar wakiambiwa na chadema wapiganie katiba mpya wao macho yao yako kwenye serikali fake ya umoja wa kitaifa.Kumlaumu marehemu kwenye hili rojo tulilomo ni kujilisha upepo tu.
Kwani @ACT na wenzao kwenye hizi chaguzi wanategemea nini? Kwa nini tusiunganishe nguvu kudai katiba mpya kwanza?
ACT wako busy kuzunguka baadhi ya maeneo kutafta maon kuwa wajitoe au wasijitoe kwenye serikali yao ya umoja wa kitaifa huko zanzibar wakiambiwa na chadema wapiganie katiba mpya wao macho yao yako kwenye serikali fake ya umoja wa kitaifa.