Denis kisaye
Member
- May 4, 2016
- 9
- 1
.
Siasa hazitabiriki huenda kufkia 2025 lisu akawa ccm bashe akawa chadema!!!!!!Ivi mfano mwaka 2025 kinyang'anyiro cha uraisi fainali ikawa kati ya Hussein bashe(ccm) na Tundu Lissu(Chadema) kura yako ungempa nani?