Modrizzy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 971
- 1,771
Hoja zako umeziweka ki chama chama sana zipange vzur ili uwavutie wengne hata wasio na upande
Sent using Jamii Forums mobile app

kwel we n stroke,mtu anajadili ishu ya maendeleo we unaweka hoj ya upnzan isiyo na kichwa,ama kwel ukiwa fisiem sifa kubwa n kua punguanhivi huko upinzani mna hoja gani inayowabeba mpaka sasa; hoja yenu kuu ya ufisadi mlishaiua na muasisi wake kawakimbia kwa sasa yuko upande mwingine.
Wafanyakazi hawataweza kuongezewa mshahara kwa sababu serikali imeshindwa kuwa na uchumi imara unaoweza kuzalisha Fedha za kuwalipa.badala yake fedha kidogo zinazopatikana bahati mbaya CCM imezielekeaza kwenye umalaya wa kisiasa ikiamini inajijenga lakini wenye akili tunajua ndo inajimaliza. Poleni watanzaniaWatakuambia tunajenga mabarabara, tumenunua madege, tunajenga stiglers gorge, tumejenga fly overs, tumejenga ubungo interchange, tunajenga daraja jipya la salender, nk
Sasa unajiuliza, ujenzi wa hivyo vitu una mahusiano gani na kutowapandisha wafanyakazi madaraja na kuwaongezea mishahara! ambavyo vyote hivyo kimsingi ni haki yao? Mbaya zaidi unawaongezea makato ya bodi ya mikopo kutoka 4% hadi 15%! Ukishawaumiza wafanyakazi maana yake wafanyabiashara na wakulima hawatapona.
CCM zaidi ya kununua wabunge na madiwani wa upinzani kipi mlichofanya cha maana tangu 2015? au zile bombardier mbovu 2?hivi huko upinzani mna hoja gani inayowabeba mpaka sasa; hoja yenu kuu ya ufisadi mlishaiua na muasisi wake kawakimbia kwa sasa yuko upande mwingine.
Habari zenu wana JF!
Mimi naomba wakereketwa na washabiki wa uongozi wa awamu ya tano watushawishi kwa hoja za msingi kwa nini Magufuli na CCM tuwape kura 2020!
Tunajuwa uwezo wa kujitangazia ushindi wanao, kwa kuwa wao ndiyo wafugaji haliali wa magobore!
Kwa upande wangu nawashawishi Watanzania tusiwachague hawa watu kwa sababu zifuatazo:
1. Uchumi: Hali ya maisha ya watu kifedha ni mbaya kuliko kawaida. Tujiulize tu kila mmoja tangu awamu ya tano ianze, simu unazopokea tu kwa siku, watu wakiomba kusaidiwa pesa zimeongezeka zaidi. Hii ni dalili kuwa hali ya watu kiuchumi siyo nzuri!
2. Biashara nyingi zimedorora au kufa kabisa. Ukipita katika miji mikuɓwa utakuta wachuuzi wamepanga bidhaa mpaka baraɓarani lakini bado wanalalamika kutopata wateja!
3. Wakulima nao hali ni mbaya kuliko kawaida. Mazao hayana wanunuzi na kama wapo yananunuliwa kwa bei ya chini ambayo wakulima hawapati faida bali ni hasara! Kama unabisha waulize wakulima wa korosho!
4. Wavuvi nao hawajaachwa salama! Tingatinga limefanyakazi ambayo si rahisi kusahaulika! Umasikini umewakuta kwa kasi ya dreamliner! Ukibisha waulize walishudia samaki wakipimwa kwa rula wakati taƴari wameshaƙuwa supu!
5. Usalama nalo ni jambo lingine linalonishawishi kutowachagua hawa watu. Siku hizi vibaka mtaani ni wengi sana! Ukipona viɓaka basi wewe utapambana na wasiojulikana.
6. Rushwa nayo imeongezeka badala ya kupungua. Utambiwa mara 1.5T hazijulikani zilipo, mara 2.4T hazionekani mara kuna shimo linaitwa 'vote 20' linameza pesa ɓila kutafuna!
7. Kodi nazo hazihesabiki na wala hazina mpangilio! Wakiamka tu hawa mabwana wakubwa kuwa wauza matembele nao tuwakamue, wanatengeneza vitambulisho visivyo na kichwa wala mkia na kuanza kuwatoza feɗha! Natamani waTz wote tuseme hapana inatosha!
8. Demokrasia na uhuru wa maoni navyo vipo kwenye ncha ya upanga. Ukitaka kuhoji matendo ya serikali inabidi uangalie aliye karibu yako kama unamfahamu au la. Tofauta na hapo utatembelewa na Wasiojulikana. Hofu ni kila mahali.
9. Tanzani ƴa Viwanɗa tuliyohubiriwa haionekani, kumbe uliƙuwa ni ulaghai mtupu! Wajenga viwanda wametokomea kusikojulikana! Tunasubiri viwanda ya umma vilivyomshinda Mwalimu!
10. Wahisani nao amewatibua, ambao walikuwa wanasaidia kwa kiwango kiwa katika maendeleo ya taifa katika nyanja mbalimbali mfano elimu, afƴa nk! Sasa wanawaita mabeberu eti sisi ni 'donor country'! Ngoja tusubiri kipigo cha mbwa mwizi!
11. Huduma za jamii nazo ni hoi! Maji, afya, elimu nk vyote bado ni duni
12. Ajira kwa vijana waliomaliza vyuo hakuna. Hivi ni kipi mtawaeleza WaTz wawaelewe na kuwaunga mkono!?
13. Mishara kwa watumishi wa umma haijaongezeka tangu muingie madarakani! Je huu ni uungwana kweli!?
14. Hata wana CCM wenzenu huku mashinani wanalalamika, vikao mnawaitisha hata soda hawapati! Hivi awamu ya tano faida yenu ni nini!
15. Sasa mvua nazo hazinyeshi sababu Mungu amechukizwa matendo yenu yasiyofaa ya kurudisha maendeleo ƴa watu na taifa nyuma!
16. Chuki na mgawanyiko miongoni mwa wananchi mmeuleta Srikali ya awamu ya tano! Mnasema yapelekwe kwenye madiwani na wabunge wa CCM na si maeneo yote! Ubaguzi ubaguzi!
Kwa haya machache nashawishika kusema, JPM na genge lake si wa kupigiwa kura wajipange kujitangaza kwa nguvu!
Upinzani kuna hoja gani unaiona?Habari zenu wana JF!