George M Gasper
New Member
- May 11, 2019
- 1
- 2
Nizamu ya vijana kuchukua fomu na kujitosa kuwania nafasi mbalimbali ikiwamo ubunge udiwani na hata serikali za mitaa lengo nikuiendeleza Same yetu na kuiweka katika viwango vya kuvutia wawekezaji katika sekta mbalimbali kama Elimu, Afya na hata maliasili katika vivutio mbalimbali kama mbuga ya mkomazi na misitu mbalimbali mfano shengena. Hivyo basi mm kama kijana nimeamua nitachukua fomu na kuwania kiti cha ubunge naomba sapoti kwenu vijana wenzangu muda ukifika tuwe pamoja tushikane mkono tuvuke pamoja.