Umekula maharage mawazo wewe si bure.
By that time, KATIBA ITAKUWA INARUHUSU MGOMBEA BINAFSI! Watanyooka tu!
Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.
Wakimzingua Ukawa tunamchukua.
Magufuli (muadilifu) hafanani na Lowasa (fisadi)....Ngeleja, Chenge au Tibaijuka (mafisadi) wanawafaaa ukawa.....wachukueni hao.....
Wacha ukumanyoko na wewe! Utabiri gani wa kipumbav huu? Mbona watu wengine mnapendaga kuchokoza wenzenu hivyo? Wampige chini kwa lipi? Hujui rais akishachukua ni mpaka miaka 10 iishe? Wacha upuuzi wako bwana, ina maana huko UKAWA hatuna watu mpaka tukae tunadandia makapi kila mwaka?Kuna Possibility ya CCM kutompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais ndani ya kile chama cha Mapinduzi 2020. Chama cha mlengwa wa kifisadi ila Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama anapinga ufisadi.
Wakimzingua Ukawa tunamchukua.