Uchaguzi 2015: Nyerere angekuwepo angekuwa msaada

Uchaguzi 2015: Nyerere angekuwepo angekuwa msaada

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,258
Hizi sarakasi zinazotokea ndani ya CCM ikiwa Mwalimu JKN angekuwepo, huenda angesema neno na Watanzania mioyo yao ingetulia..!

My take: vyama vya siasa tuleteeni wagombea wanaokubalika na wananchi!
 
Lowasa ndio rais ajae , hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza nchi zaidi ya Lowasa
 
Akili zetu zimedumaa kwa sababu bado tunashindwa kujisimamia ila kuwakumbuka wafu ambao kimsingi walishafanya yao na wanastahili kupumzika
 
Mkitaka kuishi kama miaka 10 iliyopita chagua el hakuna jipya.walewale mafisadi.turudishe nchi kwenye mstari watz.
 
Ni kweli Lowassa hapana, wengi wanaomuunga mkono ni either hawajitambui, au wamehongwa!
 
Acha fikra mgando, matatizo haya wanayopata watanzania leo hii ni matokeo ya sera za kuwabana watu wakati wa utawala wake, sasa watu wanazipupia fursa wanazopata, ndo shida walionayo sisiemu leo.
Falsafa inasema usimdhibiti sana mkeo kwani atakuja kuchukuliwa hata na mfanyakazi wako wa ndani
Hilo ndio kosa la bwanamkubwa na sera zake za ki-socialist
 
Mwenzangu nani kakwambia ni Mungu au unajisemea. ..
 
Mleta mada anazungumzia uwepo wa mtu ambaye angetoa ushauri stahiki kwenye suala hili
 
Nyerere hajakufa. Nyereres tupo. Mimi pia ningependa kuona kama Uchaguzi utakuwa shwari kama wakati ule alipokuwepo Nyerere. Kwa sababu yakitokea matatizo itamaanisha wale watu wa zamani walikuwa wanafanya mambo tunadhania rahisi,lakini tukifanya sisi inakuwa farce
 
Back
Top Bottom