Uchaguzi 2015: Mzanzibari kugombea Urais kwa tiketi ya CCM

Na hii ndiyo hoja ya msingi na wala si dini au imani ya mtu!!.

Hapa ndipo ulipo mjadala, kwamba mtu toka nchi jirani na nyingine kabisa aje agombee uongozi wa Taifa letu na tumchague???

Waliharibu kuikataa rasimu ya katiba ya Jaji Joseph Warioba na kung'ang'ania uzamani ili hali tatizo hili lilishapatiwa ufumbuzi!

Haiwezekani Zanzibar wajiongoze na bado waje na upande huu wa nchi yetu ya Tamganyika nako tuongozwe na Mzanzibar; impossible!!

Ilikuwa ni zama zile za giza la ujinga, not now.....au la wanataka, Rasimu ya Jaji Warioba ije mezani tukumbushane, tujadiliane tuliweke sawa hili.....otherwise, it's chaos!!

NNN

Nchi yako ipi na nchi jirani ipi?
 
Nchi yako ipi na nchi jirani ipi?
mkuu nchi yetu waliotuachia mababu zetu inaitwa Tanganyika, nchi yao inaitwa 'zanzibar' wana rais wao, bunge lao, bendera yao nk. Hawa makupe hatuwezi waruhusu waje wagombee urais tanganyika kamwe!
 
Na hii ndiyo hoja ya msingi na wala si dini au imani ya mtu!!.

Hapa ndipo ulipo mjadala, kwamba mtu toka nchi jirani na nyingine kabisa aje agombee uongozi wa Taifa letu na tumchague???

Waliharibu kuikataa rasimu ya katiba ya Jaji Joseph Warioba na kung'ang'ania uzamani ili hali tatizo hili lilishapatiwa ufumbuzi!

Haiwezekani Zanzibar wajiongoze na bado waje na upande huu wa nchi yetu ya Tamganyika nako tuongozwe na Mzanzibar; impossible!!

Ilikuwa ni zama zile za giza la ujinga, not now.....au la wanataka, Rasimu ya Jaji Warioba ije mezani tukumbushane, tujadiliane tuliweke sawa hili.....otherwise, it's chaos!!

NNN
mkuu kuruhusu hao makupe kuja kupanga magogoni ni uendawazimu! Hao mwisho chumbe! Watanganyika wako wengi tu wenye sifa za kuongoza taifa lao!
 
Profesa asivyompenda kijana wa ngoyae anaweza kusema sasa ni zamu ya znz ili kummaliza mchezo kama alivommaliza saba kwenye jumba la dhahabu.
 
Huo ni mchepuko wa kisiasa huko kuna mgongano wa mihimili na dini na umri nk
 
Job K

CMM wameshalipima joto letu, wanajuwa fika kwamaba watz hatuwezi kufanya chochote, kwahivo wanajuwa kwamba uamuzi wao ndio uamuzi bora kwa raia wote

Mkuu huo ndo ukweli wenyewe!

Ngoja tusubiri kampeni zianze uone moto wake kama kweli maccm watakuwa wamefanya mchezo wa aina hiyo!! Naona huijui siasa ya TZ wewe!! Hivi unafikri maccm yanavyotuchezesha tune za kubadili mkiristo kwa muislam hayajui hilo? Kama mnataka mali mtayapata UKAWA! Kwa ufupi ili tupate maendeleo ya kweli lazima tuimwage ccm na watu wake wote, usitegemee kupata mtu safi kutoka ccm atakayetuletea maendeleo, hiyo ni ndoto ya alinacha!!
 
wazanzibari wote si waislam na pia nchi hii haina dini! Suala la udini inakuzwa na wanasiasa. Watanzania wanamtaka mtu makini wa kuwaletea maendeleo.
Wakati umefika sasa wakusema bila kumung'unya maneno, Zanzibar itawaliwe na wazanzibar na Tanganyika na mtanganyika haitajalisha kama ni mkristu au mwislamu!
 
Wakimweka mzanzibar huku bara saa tisa mchana tutaanza sherehe ya kunywa beer.kusherekea kifo cha ccm.
 
Na hii ndiyo hoja ya msingi na wala si dini au imani ya mtu!!.

Hapa ndipo ulipo mjadala, kwamba mtu toka nchi jirani na nyingine kabisa aje agombee uongozi wa Taifa letu na tumchague???

Waliharibu kuikataa rasimu ya katiba ya Jaji Joseph Warioba na kung'ang'ania uzamani ili hali tatizo hili lilishapatiwa ufumbuzi!

Haiwezekani Zanzibar wajiongoze na bado waje na upande huu wa nchi yetu ya Tamganyika nako tuongozwe na Mzanzibar; impossible!!

Ilikuwa ni zama zile za giza la ujinga, not now.....au la wanataka, Rasimu ya Jaji Warioba ije mezani tukumbushane, tujadiliane tuliweke sawa hili.....otherwise, it's chaos!!

NNN
Ndivyo ilivyo mkuu. Haiwezekani abadani Tanganyika nchi tuongozwe na majirani zetu wazanzibari. Yatoshe tulivyowabeba kwenye ofisi zetu huku Tanganyika.
 
Profesa asivyompenda kijana wa ngoyae anaweza kusema sasa ni zamu ya znz ili kummaliza mchezo kama alivommaliza saba kwenye jumba la dhahabu.
Na hivi MGENI katangulia sijui Nani atahamasisha na minyimbo yake ile.
 
huyo watakaempendekeza ccm je?alijitokeza kukemea ufisadi wa Escrow maana sisi kina gogo la shamba tumeshawaambia kwamba kigezo kikubwa cha kumpata Rais mwaka huu ni kwa jinsi gani amepigia kelele suala la Escrow vigezo vingine ni ziada tu,
 
mkuu nchi yetu waliotuachia mababu zetu inaitwa Tanganyika, nchi yao inaitwa 'zanzibar' wana rais wao, bunge lao, bendera yao nk. Hawa makupe hatuwezi waruhusu waje wagombee urais tanganyika kamwe!

Dah! Hivi kweli unaijua historia ya Taifa lako? Tangu lini ukawa na mababu "Wakikoloni" ama "Wakizungu"?.Kwa taarifa yako jina Tanganyika lilitokana na Mkoloni Mjerumani na sio Babu yako.

Huu utumwa wa kurithi ni janga kwa Taifa.Pia tusiwe wavivu wa kusoma na kujua historia yetu hasa wewe kizazi cha Tanzania. Napata shida watoto na wajukuu zako watarithi nini kama upeo ulionao ndio huu Ndugu Nkongu Ndasu!!!!!?
 
Back
Top Bottom