ujue wabongo wanaoumiza vichwa kama jamiiforum, jigambeads, michuzi, tanzaniakwetu, wanaouwezo wa kubadilisha uchaguzi ukawa online na kutufutia huu uchakachuzi,mfano we angalia idea ya kuwaunganisha watangazaji na mapublisher online iliyofanywa na wabongo wenzetu,jaribu kuingia jigambeads uone kama haitowezekana!