bullet proof
Member
- Sep 19, 2012
- 57
- 35
"Chama cha upinzani Tanzania ni kimoja tu Chadema" Dr.W. Slaa
Mkuu hapo kwny CCM +CUF hujafikir vzr.itakuwa hivi CCM +CHADEMA HIVI HUONI ANAEHAMA CHADEMA ANAKWENDA CCM NA ANAEHAMA CCM ANAKWENDA CHADEMA,KADA MAARUFU WA CCM ANAIPA MSAADA CHADEMA NA HATA WANACHAMA WAO WANAMILIKI KADI MBILI!!!yote maandalizi ya kuangana p1...wape salamu
Nikiitazama 2015 nawaonea huruma cdm kwani ndo mwisho wa mbwembwe zao.
1. Majimbo yatapungua.
2.urais ndoto.
Mkuu sidhani kama itakuwa hivyo.Nikiitazama 2015 nawaonea huruma cdm kwani ndo mwisho wa mbwembwe zao.
1. Majimbo yatapungua.
2.urais ndoto.
Sidhani kama kutatokea kitu kama hicho. CCM na CUF is possible lakini CDM inaweza kuungana vyam didovidogo sana na wanaweza kupata ridhaa ya wanchi kwa mapenzi waliyonayo kwa CDM. Ni kama ilivyofanyika jimbo la kawe Mdee kushinda watu wawili akiwemo M/kiti Taifa wa chafulani nimekisahau kwa jina. NI ushujaa ulioje wa kisiasa kwa Halima Mdee!!!
sidhan kama kuna chama kinaweza kukubali kuungana na magaidi kama chadema halafu kaka ongea na mdee muulize ule mchezo alouaza tangu akiwa chuo kikuu ameacha au anaendelea nao ule wa wao kwa wao....
Mkuu sidhani kama itakuwa hivyo.
Ungejaribu kuweka sababu za msingi ili kujenga hoja yako.
Mimi na critical thinker wengi humu JF tunafikiri vice versa, yaani
1/Chadema itapata majimbo mengi zaidi 2015
2/Chadema kwa mara ya kwanza itatoa raisi 2015.
*REASONS
1/Watanzania wengi sana wana imani kubwa na Chadema kuliko chama kingine chochote cha siasa
2/Ndio chama pekee kunachofanya harakati kubwa sana za kisiasa zinazokubalika nchi nzima.
3/Chama changu cha CCM kwa sasa ni chama mfu kabisa kisiasa(Ni suala la muda kitazikwa rasmi)
Ikiwa ni takribani miaka 2 imebaki kabla ya uchaguzi mkuu nchini kufanyika, kuna baadhi ya wabunge wa CCM wenye nia ya kupeleka hoja bungeni ili kuruhusu vyama kuungana wakati wa uchaguzi kama ilivyokuwa Kenya. Wakati hali ikiwa hivi kuna kila dalili kuwa CCM kitaungana na CUF ili kusimamisha mgombea mmoja wa Urais! Je, kuna sababu ya CHADEMA UNATAFUTA AU UNAKUSANYA MAONI?
Nikiitazama 2015 nawaonea huruma cdm kwani ndo mwisho wa mbwembwe zao.
1. Majimbo yatapungua.
2.urais ndoto.
hata ww huishi milele hapa duniani ni ndoto..nakuonea huruma
"Chama cha upinzani Tanzania ni kimoja tu Chadema" Dr.W. Slaa