Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,015
- 95,397
- Thread starter
- #41
Kwa sirikali ya Tanzania ya CCM ya JK, waziri wa mambo ya ndani akitamka wewe si raia, unakuwa si raia. Hakuna mjadala. Hilo ndilo neno la ccm. Na bahati nzuri masha ndio waziri mwenyewe wa kutamka.ishu ni ubunge tu au hata udiwani?..yeye anavidhibitishi gani kujua fulani sio raia au ndio hivyo kusema fulani kashindwa kudhibitisha uraia wake?