William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #41
Hii itasaidia sana ili wagombea wapitishwe kwenye tanuru la moto la constructive cricitism huku tukichambua strength na weak points zao, siku ya siku, tunachagua kile tunachokijua, na sio kujikuta kwenye majuto kama tulivyo sasa.
Record ya JPM kuhusu vita ya ufisadi iko wazi, pia nadhani inaeleweka ametupiwa kwenye insignificant ministry ili kumpunguza kasi yake.- Heshima mbele sana Mkulu Ogah, maneno yenye nyekundu ni mazito sana, vipi mkuu kuhusu vita against mafisadi, huyu kiongozi anafaa? Ipo record?
Respect.
Field Marshall Es!
Kwa maoni yangu kwenye urais, tusipendekeze ngombea wa CCM maana its a fact yupo, ni JK, huo ndio utaratibu wao. Hivyo tunapomtafuta mgombea wa upinzani atakaekubalika na wote, lazima awe na sifa za kumzidi JK, vinginevyo tunajadili washiriki sio washindani.
.
Huyo huyo unayemuita Lucifer, ndiye atatawala milele, sasa wewe peponi utakwenda kupitia wapi?.
Record ya JPM kuhusu vita ya ufisadi iko wazi, pia nadhani inaeleweka ametupiwa kwenye insignificant ministry ili kumpunguza kasi yake.
Kwa maoni yangu kwenye urais, tusipendekeze ngombea wa CCM maana its a fact yupo, ni JK, huo ndio utaratibu wao.
- Mkulu Pasco, with due respect sioni ubaya kutaja any CCM leader anayeweza kuwa na sifa za kumzidi na hata kuweza kua effective rais, tunaweza kum-influence mtu huko akachukua fomu, kama kuna anayefaa huko atajwe na sifa zake!
Respect and Later!
Field Marshall Es!
Record ya JPM kuhusu vita ya ufisadi iko wazi, pia nadhani inaeleweka ametupiwa kwenye insignificant ministry ili kumpunguza kasi yake.
.
Shalom, facts are sturbon things, its a fact ndiye rais wako kwa sasa, uwe ulimchagua au hukumchagua, akishaapishwa ni rais wa wote, hii ni fact, haina mjadala,Pasco,
Haya ndiyo masilahi ya taifa unayoyapigania hapa kazi kweli kweli!
- Mkulu Pasco, vipi ukiiweka wazi hapa hiyo record ya huyu waziri na vita dhidi ya ufisadi? Wengine hatuifahamu!
Respect.
Field Marshall Es!
To be honest sina any specific, ila ukiondoa yale maroroso yake kwenye uuzaji nyumba za serikali, na kuichepusha lami ya Mwanza-Bukoba, iliyotakiwa kupitia Biharamulo, akaipitishia kwake Chato, Jamaa is a man of impecable integrity, kwanza ni genius, pili he means what he says. He is a no nonsense man, angekuwa ni yeye, hizi kesi za EPA zingefall under Sabotage Acts, hakuna dhamana, jamaa wangeozea jela, ila pia labda, wafungwa wote zaidi ya 2000 waliohukumiwa kifo, wasingeendelea kula dola la bure pale Isanga!.
Pamoja na ukweli huu, hakuna ubaya, JK akijulishwa kuwa yes yeye ndiye kinara, but he is not the best, he was the best 2005, he is not 2010, asimamishiwe jabali ili usikie Watanzania wanasema nini. Hii itamfanya awe a bit serious 2010 baada ya kujijua sasa kumbe ameendelea kwa kuhatisha kwa sababu ule ushindi wa kishindo wa 2005, umemlevya na masifa, hivyo atawala kama mwana mfalme, ki laiser affair na kila wakati yuko vakasheni.Hii topic me naona tujadili wagombea wabunge kuliko wa urais wa 2010.
Mbona tuna discuss kitu ambacho kipo wazi?ni bora tudiiscuss wabunge wa jimbo flani kuliko urais ambao upo wazi kabisa kuwa ni JK.
.Mhh kama sifa ndo hizo kazi sana Tanzania, yaaani angenyima watu dhamana wakati sheria inaruhusu Mazee...soma kesi ya Daudi Pete....rule of law kuifwata ni jambo moja kubwa sasa kwa viongozi wa sasa.
Ni kweli, ila pia nazo zinatumia Newtons law of motion, kuwa mambo yatabaki hivi hivi yalivyo mpaka ije force nyingine ibadilishe mambo.Siasa za Tanzania ni ngum sanaa, na zinakera na kusikitisha.