William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- wakuu uchaguzi mkuu wa taifa uko kwenye kona, mzee mandela aliwahi kusema kwamba kwenye ishu muhimu za taifa kama hizi kuwa kimyaa au kuwa neutral ni dalili za kuwa coward.
- kwa wale influence ya namna moja au nyingine ni vyema tukaweka wazi msimamo wetu kwa public kuhusu wagombea ambao tunaamini kwamba wanafaa katika kutusaidia taifa, nimekuwepo jf kwa muda mrefu sana sasa nikiwa na lengo moja tu, nalo ni siku moja kuliona taifa langu likiongozwa kwa kuheshimu sheria.
- kwa hiyo leo nitaanza rasmi kuwataja wagombea ninaona wanafa kwa masilahi ya taifa letu, na sababu.
respect.
fmes!
- Wakuu uchaguzi mkuu wa taifa uko kwenye kona, Mzee Mandela aliwahi kusema kwamba kwenye ishu muhimu za taifa kama hizi kuwa kimyaa au kuwa neutral ni dalili za kuwa coward.
- Kwa wale influence ya namna moja au nyingine ni vyema tukaweka wazi msimamo wetu kwa public kuhusu wagombea ambao tunaamini kwamba wanafaa katika kutusaidia taifa, nimekuwepo JF kwa muda mrefu sana sasa nikiwa na lengo moja tu, nalo ni siku moja kuliona taifa langu likiongozwa kwa kuheshimu sheria.
- Kwa hiyo leo nitaanza rasmi kuwataja wagombea ninaona wanafa kwa masilahi ya taifa letu, na sababu.
Respect.
FMEs!
.kuanza kuongelea masilahi ya taifa kuliko li chama lako.
Karibu sana naona neema inakuja!
Duh mbona wengi bado hatuchawachoka kila siku wanazidi kuwa makini zaidi it is time give them a chance...Nitafurahi sana Prof. Lipumba na Maalim Seif wasipokuwepo kwenye list ya wagombea, macho na masikio yetu yamewachoka!
.
This is not fair comments kukiita chama cha mtu li chama, hebu wafikirie wale wengine wote wenye vyao vyao kikiwepo cha kwako ulichomo kikitwa lichama.
Tunapozungumzia maslahi ya taifa, ni over above party politics, sie wengine na mimi nikiwemo, tunaona bado hatuna hata chama kimoja cha kujiunga nacho lakini maslahi ya taifa tumo.
Yes its good tukianza vyovyote, pia tuandae rules of the game to avoid character assasinations na to maintain their right to privacy wakati tukiwachambua ili tuwavue nguo na kuwatia aibu.Mkuu no offense lakini nadhani uswahilini tunatumia sana hiyo term ya lichama... ila sijui kama kuna maana nyingine
Tukija kwenye mada, njia rahisi ni kuweka jedwali litakaloonyesha kila jimbo na potential candidates then tunakata kila wanapopungua... nadhani wiki hii pekee kuna vijana kama watano ndani ya chama tawala wameweka wazi nia zao na kuanza kushtua wakubwa majimboni
au mnaonaje?
Biblia inasema "kunakuwa na furaha sana mbinguni mwenye zambi mmoja akitubu " na kwa kweli leo hapa JF ni furaha kubwa sana mkerekwetwa unapofunguka macho na kuanza kuongelea masilahi ya taifa kuliko li chama lako.
Karibu sana naona neema inakuja!
Yes its good tukianza vyovyote, pia tuandae rules of the game to avoid character assasinations na to maintain their right to privacy wakati tukiwachambua ili tuwavue nguo na kuwatia aibu.
.
This is not fair comments kukiita chama cha mtu li chama, hebu wafikirie wale wengine wote wenye vyao vyao kikiwepo cha kwako ulichomo kikitwa lichama.
Tunapozungumzia maslahi ya taifa, ni over above party politics, sie wengine na mimi nikiwemo, tunaona bado hatuna hata chama kimoja cha kujiunga nacho lakini maslahi ya taifa tumo.
- Mkuu jaribu kuheshimu taifa, kama huna cha kuchangia kuhusu masilahi ya taifa basi waachie wanaoweza,
- Na ninaomba nikukumbushe wewe na wengine wote kwamba mimi ni mwanachama mkereketwa wa CCM, sijawahi kutokwua na msimamo wala kuwa neutral katika maisha yangu huku Duniani, ninaamini kwamba chama cha CCM hakina tatizo lolote, isipokuwa tuna viongozi wachache wabovu ambao demokrasia inahitaji tuwarekebishe ili waweze kurudi tena kwenye mstari.
- Now back to the ishu ni kwamba kwa mawazo na maoni yangu ufisadi, ndio hasa tatizo kubwa linaloliangamiza taifa letu, ninaamini kwamba tukiweza kuuthibiti ufisadi, yaani kuwashughulikia viongozi wezi wa mali za taifa, yaani za wananchi basi taifa letu litafanikiwa sana katika mbio zetu za kusonga mbele. Na the only way foward ni kukazania utawala unaoheshimu sheria kwanza kabla ya anything.
- Nafasi ya Rais kwa sasa ninaiacha wazi mpaka nitakapojua wanaoiwania kutoka vyama vyote ndio tutasema wazi msimamo wetu, ingawa for now tunaweza ku-speculate na kushauri pia nani anayefaa, lakini tutasema msimamo wetu kwa wagombea walioko kwenye nafasi tayari na wale walioonyesha nia ya kutaka kugombea.
- Na kila member hapa JF, anakaribishwa sana kutoa maoni yake kuhusu nani anatufaa kiuongozi katika taifa letu.
Respect.
FMEs!