Uchafu wa st.john university adharani.

Ahsante sana mleta mada.......
Wala sishangai sana. Janga, linaloweza kufanana, kama hili lipo takribani vyuo vyote hapa Tanzania. Asiye amini na asiamini. Hata yule mwanaharakati aliandika mpaka kitabu juu ya shahada bandia si hakuaminiwa.
Kwa bahati mbaya zaidi huku Elimu ya Juu hakuna mtu ayafuatilia (---- mamlaka yote makubwa ndani ya mipaka ya chuo). TCU inaishia Mikocheni, ikifika Mwenge ipo hoi - bin taabani hata haina nguvu ya kuona na kuadhibu haya maovu. Waajri wana uwezo mdogo wa kuona mbali, hivyo hukaa na kulaumu juu ya utendaji mbovu wa wahitimu.
TCU amka! Mabilioni toka HESLB hazitoleta ufanisi na tija yoyote kwa taifa.
 
Sidhani kama ni sahihi kuhalalisha makosa kwa sababu tu ya mazoea! Si sawa kusema haya mambo yapo tangu zamani karibu vyuo vyote. Inatakiwa tufike sehemu tuseme kwamba hili ni kosa na mamlaka husika ziwajibike. Kama kweli mtu mwenye masters anakuwa senior lecturer ktk chuo kikuu (Sina uhakika kama inaweekana kwa sasa), TCU wapo wanapaswa waangalie nini cha kufanya. Kuhusu maadili duni ya wahadhiri, chuo husika kinapaswa kufanya uchunguzi ili kujua ukweli wa tuhuma hizo na kuchukua hatua stahili.

Kama wasomi wa taifa hili au wenye uelewa wa mambo ya kitaaluma tusichukulie mambo kwa mazoea tu, something should be done to change the situation if at all itathibitika kuna ukweli katika tuhuma zilizotolewa.
 
Aisee hii kiboko yaani chuo kipo kingono kabisa isije kuwa yule dada alikuwa analalamika kuwa kuna mkufunzi anamtaka isije kuwa ni hicho chuo!dah yaani kuna matukio hayatakiwi kuyafikisha kwa uongozi kwasababu ni makosa ya jinai!ni kuwaitia Kova tu!
 
dah..hii hatari..naamini hii habari 90% coz nimesoma hapo na waliotajwa almost wote nawafahamu..ukiwa mgogo plus mwanglicana ni added advantage ya kuajiriwa..RIP prof Mwaga coz ulijitahidi SJUT kiwe kwenye ramani.
 

Sasa kwa hii post si atakugundua ndugu yangu na kukumaliza kabisa?
 
Du!!! Af zamani ilikuwa ni chuo cha wagogo na watoto wa viongozi wa kanisa la anglican!
 

Mwambie aandike kiswahili badala ya kuja kujifunza kuandika Kiingereza humu....
Halafu kwa mfumo wa vyuo vyetu vya bongo, vyuo kama hivi vinachukua wanafunzi waliofeli au waliokuwa na marks ndogo za F6, kwa mtaji huo unategemea nini kama sio kuachia paja ili nao wapate degree za bongo!
Na kwa uzoefu, vyuo vingi vya private vina calibre ya aina hii ya wanfunzi, wasio na questioning minds, bali kuwa receptive wa kila wanachofanyiwa na kuja kubweka nyuma ya compter kama huyu hapa!
 
Mnanikumbusha tulivyokuwa Chuo, hizo kazi tumezifanya sanaaanaaaaa.
Zilipendwa, soma sepa,uje Posta tujiunge kubeba bahasha.
 
Kwa hiyo ndio kusema degree za st.john ni za chupi????
 
vyuo vya madhehebu ya dini vilipaswa kuwa vyuo bora katika utoaji wa elimu na maadili lakini ndio vyuo vinavyoongoza kwa kufanya usanii katika elimu.
TCU imekuwa ni taasisi dhaifu katika kufuatilia ubora wa vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini huku ni kuiangamiza nchi kwasababu elimu ni jambo la msingi sana katika maendeleo ya nchi yoyote. mfano hai mwaka 2011 kuna wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha SMMUCO waligoma na baadaye kuacha masomo baada ya kugundua shahada walizokuwa wanasoma zilikuwa hazijasajiliwa na TCU vilevile mitalaa (curriculum) ya shahada zenyewe ilikuwa ni mibovu pamoja na TCU kufahamishwa juu ya jambo hili hawakuchukua hatua zozote baada ya kujiona nao ni sehemu ya watuhumiwa.
mambo haya hayapaswi kunyamaziwa.
 
Hapo umenena....mwandishi wa hii kitu ni mwanafunzi aliyefukuzwa.....anataka kukishtaki chuo kwa makosa yake binafsi
 
Sasa kwa hii post si atakugundua ndugu yangu na kukumaliza kabisa?

Ama kweli St. John iko hali mbaya kama wanafunzi wake wako kama huyu. Yaani anafikiri Mwalimu wake hawezi kuingia JF?
 

Mkuu ur very right, ila umemsahau dean FOCB bwana Kip.aaaa....nga! anawala wanafunzi tigooo mbayaa, huyu elimu yake mpaka udokta inamashaka inahitaji timu maalumu kumchunguza ......
 
kwa yoyote aliyekuwepo huko main campas naomba atujuze maana nimesikia timu kutoka tcu imefika leo
na wahadhiri uchwara 'vima' yanagonga 'pichu'#
 
Labda post yako ni kweli so inahitaji upembezi yakinifu ili kubaini ukweli cyo suala la kuamka asubuhi na kuja na majibu!
 
Mkuu ur very right, ila umemsahau dean FOCB bwana Kip.aaaa....nga! anawala wanafunzi tigooo mbayaa, huyu elimu yake mpaka udokta inamashaka inahitaji timu maalumu kumchunguza ......

Duhhh! Mungu wangu.... Yeesu na Maria!! Eee woomi! Ati nini??? Bado kuna watu wanatetea hicho chuo utadhania wanahisa huko SJUT. Nasema tena, TCU ikibaki "ICU" msitarajie nchi kukombolewa na wahitimu kutoka vyuo vikuu. Sipendi kuamini kama hali hii ikiachwa ukombozi wa nchi hii utaletwa na VETA, wanendesha bodaboda, wamachinga....
 
shame on you st john a f'''en unvesty. vp lakni mbona education kimya ? hope wadau wataweka naked
cc karim, et all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…