Uchafu wa Mbunge wa Ulanga CCM

Uchafu wa Mbunge wa Ulanga CCM

Mbu
Kiukweli kauli hiyo sikuipenda kwasababu mtu anastahili kupewa heshma yake watu walizoea kuropoka bungeni sasa yamemkuta bwanamdogo maana alifikiri yupo kwenye mkutano wa kampeni.
Mbunge wa Ulanga kijana Mlinga kajisahau kuwa hii ni awamu ya tano na Rais Dr Magufuli hatavumilia matusi ya nguoni bungeni badala ya hoja kwa faida ya taifa na wapiga kuwa wake wa Ulanga - ataisoma namba cha ajabu naibu spika ni mwanamke na akavumilia uchafu huo na kuumeza!!!! funny and unbelievable badala ya kumkemea Mlinga na kumtoa nje!!!!
 
Sii usome kwanza hiyo link uliyopewa post #62 ndio uje ubwabwaje hapa badala ya kujiaibisha? Watu mmekuwa wavivu sana.
Haijalishi wanahoja kiasi gani, uandishi wa kutafutana, kukomoana ni bure kabisa, wala haumuwezeshi Mtu kutafakari kwa fikra huru.
 
Makamu wa rais kesha wajibu wabunge wa ccm wajitathimini kwa waliyo ambiwa, hakika wangemrudisha huyu mpuuzi kuomba radhi kwa wanawake wote TZ. Ila kwa kuwa wanajitia ni wehu watanyamaza ila ujumbe wameupata. Huyu dogo alizoea kuona viongozi wa ccm wakilala na mamake daily wanabadilishana likamkera ila alikosa pa kulitolea kulisema juzi bungeni alitukana wanawake wote ila alijificha kwenye kichaka cha ukawa, uchafu wa mama ake umemuathiri akili.
Ni kweli mkuu umegonga kwenyewe kabsa ccm bila Rushwa ya ngono hupati hata Ukuu wa wilaya, Dogo kasema kile ambacho kakikariri kwa miaka mingi sana, hata yeye sasa anachepuka na Tulia na sasa anafaa aitwe Tulia goodluck kombani a.k.a baby
 
Alishawai kuteka na mengine Machafumengi haya hapa
View attachment 345862
Dogo Hatari anachepuka balaa alianza na kale kabinti ka Bulembo sasa kahamia kwa Tulia, maisha yake mwenyewe kajisahau kayaanika live sasa anajutia Kauli yake baada ya wanawake wa ccm kujisikia vibaya kutokana na Michango ya wana JF juu ya Tabia zao.
 
Rushwa ya ngono na michepuko kwa sasa ndilo JIPU kubwa Kuliko yote maana athari zake ni kubwa kutokana na sekta nyingi kuongozwa na watu wasiostahiki wengine wanamiliki vyeti walivyovipata kwa njia za Rushwa ya mgono Yaani Wasomi feki. Hapo kuna Majipu kibao ni vyema ccm wakalichunguza hili kwa kiina ili wapate kutumbua Majipu yoote tupate kuongozwa na Wasomi wa Ukweli kabsa ambao hawakupewa vyeti Baada ya kutoa Rushwa ya ngono.
 
Unalijua gazeti lenyewe vizuri? Kila siku linandika habari kama za wapiga Ramli! Halina habari za ukweli. Ushahidi ulifichwa wapi miaka yote hiyo bila kufikishwa polisi? Hii ni kama ile video ya mauaji ya Arusha ambayo Mbowe mpaka sasa hajaikabidhi kwa wapelelezaji.
Tuambie wewe unayelijua? Ila jambo la uhakika ni kwamba kuna sheria ya usajili wa magazeti inayosimamia uendeshaji wa magazeti. Hakuna gazeti nchini linaloandika kila siku uongo! kwa maana hiyo wewe ndiye muongo!
 
Tafadhari naomba kujua mmiliki wa ili gazeti ni nani?? Kabla sijaanza kuchangia
 
Dogo Hatari anachepuka balaa alianza na kale kabinti ka Bulembo sasa kahamia kwa Tulia, maisha yake mwenyewe kajisahau kayaanika live sasa anajutia Kauli yake baada ya wanawake wa ccm kujisikia vibaya kutokana na Michango ya wana JF juu ya Tabia zao.
Kijana Mlinga mbunge wa Ulanga tunahisi kapata ujuzi katika familia yake ( home experience) mtoto umleyavyo ndo akuwavyo, he should apologize nasi ambao hatuoni bunge live tujue - matusi kama hayo ya nguoni ni marufuku even in any mannered honorable family(father mother and children). Ukiona kijana anatoa matusi kama hayo jua kajifunza nyumbani kwake!
 
We unaleta picha ya mgando ndio kielelezo! Kuna video kabisa ya akina mama wa Bawacha wanaeleza wazi kuwa bila ngono huchaguliwi!

Yule mbunge wa viti maalum anitwa sijui Anestropia ,nimepata taarifa za uhakika NDIYE baby wa JOHN MREMA ,KAMPEN MENEJA WA LOWASA , ndio maana alipewa hiyo nafasi pamoja na kumfanyia ndivyo sivyo J,mtatiro kazawadiwa viti maalum
 
Yule mbunge wa viti maalum anitwa sijui Anestropia ,nimepata taarifa za uhakika NDIYE baby wa JOHN MREMA ,KAMPEN MENEJA WA LOWASA , ndio maana alipewa hiyo nafasi pamoja na kumfanyia ndivyo sivyo J,mtatiro kazawadiwa viti maalum
ccm wote Viti maluum ni mwendo wa nipe nikupitie tena bila kinga, hivi unafahamu kuwa wenye Uchungu na Kauli ya huyo Mbunge ni Wamama wa viti maalum ccm kutokana na upepo kuwageukia zaidi.
 
Ni kweli mkuu umegonga kwenyewe kabsa ccm bila Rushwa ya ngono hupati hata Ukuu wa wilaya, Dogo kasema kile ambacho kakikariri kwa miaka mingi sana, hata yeye sasa anachepuka na Tulia na sasa anafaa aitwe Tulia goodluck kombani a.k.a baby
Hivi hili la kuchepuka na Tulia ni kweli au ni hasira za wabunge wanawake wameamua kuwaunganisha? Maana kale kamwanamke kana majivuno utadhani hakavui nguo., nidadavulie hili maana najua funza lazima umepenya kwenye himaya yao
 
Leo hii ndio unaliona hilo gazeti kuwa ni la kina mdee?kila siku linapo chapisha habari za kuitukuza ccm unakuwa unakata mauno kama zuzu!

Anakata MAUNO KAMA CHRA WA SNURA hahahahhaaaaaaaaa umemmaliza
 
Hawa ma-babys wameshapagawa wanajaribu kuzima sooo!!! Kwakuanzisha uzi feki dhidi ya mbunge wa Ulanga, hoja butu hiyo. Wa tuambie wazi wazi viti maalumu mchakato wake,
Kijana acha mipasho ya kitchen party,viti maalum CDM wanapatikana kwa formula sio utashi wa mtu
Tizama je Kuna viti maalumu Ukawa yote mwenye IQ ndogo kama Halima Bulembo au anayeiba mahotelini na madukani ulaya kama.......?
 
Back
Top Bottom