Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,247
Na huku ni kithibitisha kuwa huyo Tulia kashindwa kuliongoza bunge, ktk hali ya kawaida kabisa ilibidi huyu mbunge alazimishwe kufuta kauri yakeHata kwa kuangalia sura tu, unaweza fahamu kwamba huyu siyo mtu anayestahili ubunge. ni kichwa kibovu kkischojitambua. Ni tatizo la CCM kuwapa wafiwa nafasi ya ubunge kama pole ya chama. Anawaita baby watu yeye anajua mama yake aliingiaje bungeni? It is just another rubbish.