Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,664
- 11,752
Mkuu wenye akili hatuangalii huo upuuzi kuna chanel nyingi unaweza kuangalia mambo yanayo jenga, na hujalazimishwa kuangalio hio kitu, au unafanya sitaki nataka unachungulia af unashindwa kuhamisha
Uko sahihi kabisa.
Hivi kuna anayelazimishwa kuangalia MNET? Mbona DSTV wanazo channel kibao sana za mambo mbalimbali? Kuna channel za michezo, historia, wanyama, teknolojia n.k. Mleta hoja ni bora ukaachana na kuangalia channel hiyo kama hutaki kuona watu wakiwa kama walivyozaliwa ama kama wanaelekea 'kupandana'. Sitisha na usomaji wa magazeti ya udaku pia, utakuwa umejiepusha na mengi.