Hilo alilokuambia mkubwa hapo juu la kutafuna mchele nalo linaweza kuwa sababu. Ila pia ni dalili ya mabactria fulani. Hembu jaribu kwenda kwa wataalamu wa magunjwa ya akina mama....UTI hana
anajisafisha lakink wapi
Wataalamu wa magonjwa ya akina mama ntawapata sehemu gani hapa Dar?Hilo alilokuambia mkubwa hapo juu la kutafuna mchele nalo linaweza kuwa sababu. Ila pia ni dalili ya mabactria fulani. Hembu jaribu kwenda kwa wataalamu wa magunjwa ya akina mama...
hapati homa wala maumivumkuu huyo dada kama anapata homa au maumivu, muwasho, au hiyo cream nyeupe inatoa harufu then huo ni ugonjwa.......ila kiuhalisia huko chini ndio kulivyo, na kama hiyo cream inatoka ujue huyo dada yupo fiti...ni mzima wa afya...
Huko chini kwa kawaida hakutakiwi kuingizwa chochote, sio maji wala sabuni na hata vidole.....huko huwa kunajisafisha kwenyewe....na harufu original ya huko chini huwa ni kama kitunguu hivi (samahani jamani) naongea kwa kuelimisha tu na sio ku offend gender....
ingekua ni ugonjwa wewe ndio ungetambua haraka sana......maana ungepata shida kukojoa lazima ungesikia maumivu ndio zogo lingeanzia hapo...iwapo kila mkitenda wewe hauugui....jua tu mkuu chuma kipo fiti.
Uihangaike mkuu yupo fiti...yupo kawaida tu.....nadhani anajiosha sana pia...jaribuni kupumzika pia.....lakini kama wewe unaumwa then ni ugonjwa mkacheki ila kama wewe husikii chochote izoee hiyo hali wala usiogope....ndio kulivyo huko kwenye utamu.hapati homa wala maumivu
Usicheke mwenzenu anahitaji msaada!!!Ha ha ha ha aiseee
Mh!! Mchele nao huwa unasababisha hayo mambo eee!!!Pole mkuu, ila kama anatafuna mchele mwambie aache mara moja huwa unasababisha pia.
Bao la kike hilo
mkuu huyo dada kama anapata homa au maumivu, muwasho, au hiyo cream nyeupe inatoa harufu then huo ni ugonjwa.......ila kiuhalisia huko chini ndio kulivyo, na kama hiyo cream inatoka ujue huyo dada yupo fiti...ni mzima wa afya...