Uchafu kwenye ulimi wa mtoto mchanga

Uchafu kwenye ulimi wa mtoto mchanga

inyele

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
1,661
Reaction score
1,303
Wakuu wasalam

Mtoto wangu mchanga mwenye siku 13 ana uchafu kama utando mweupe kwenye ulimi wake. Vile vile kuna kama viupele vidogo katika ulimi.

Mtoto ananyonya vizuri na hajaonesha dalili ya kushindwa kunyonya.

Je, hii hali ni kawaida na haitaleta shida mbeleni? Ikizingatiwa uchafu unaonekana kuongezeka kadri siku znaongezeka..

Je, kuna namna ya kumsafishia au dawa inayoweza kutumika kuondoa hili? Nakaribisha michango ya maoni na ushauri..
Asanteni
 
Karibuni wajuzi mnipe ushauri na maoni wakuu
 
Uchafu ukizidi aweza asinyonye kabisa tafuta mti 1 hivi unaitwa mkela kela uchune kisha chukua kijiko utege ulipochuna au kata matawi yake dondoshea ule utomvu kwenye kijiko baadae chuku pamba safi ichovye kwenye utomvu msafishe ulimi mara 1 tu huo utando utaisha papo hapo.
Thank me later!
 
Kha wewe unataka kumuulia mwanae au

Nenda kwa docta wa watoto, huyo mtoto bado mdogo usimpe madawa wa kitu chochote bila ushauri wa daktari
 
Kha wewe unataka kumuulia mwanae au

Nenda kwa docta wa watoto, huyo mtoto bado mdogo usimpe madawa wa kitu chochote bila ushauri wa daktari
Mpe beer au konyagi.

Natania aisee fata ushauri wa huyu dada usifanye mambo kienyeji wakati hospitali zipo nenda hasa hospitali za serekali
Kamuone Paediatrician.
 
Asanteni, ushauri na mawazo yote ni mazuri!

Naamini humu jukwaani tupo watu wa aina nyingi wakiwemo wataamu wa afya ,, ndio maana nikaja humu kuzungumza na wajumbe kabla sijafanya lolote! Ushauri wa kitaalam natauzingatia zaidi.
 
𝑯𝒊𝒚𝒐 𝒌𝒊𝒕𝒂𝒂𝒍𝒂𝒎𝒖 𝒊𝒏𝒂𝒊𝒕𝒘𝒂 𝒐𝒓𝒂𝒍 𝒕𝒉𝒓𝒖𝒔𝒉 𝒏𝒂 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒂𝒎𝒃𝒖𝒌𝒊𝒛𝒊 𝒚𝒂 𝒇𝒖𝒏𝒈𝒖𝒔 𝒔𝒐 𝒖𝒏𝒂𝒕𝒂𝒌𝒊𝒘𝒂 𝒖𝒎𝒑𝒆 𝒏𝒚𝒔𝒕𝒂𝒕𝒊𝒏 𝒔𝒚𝒓𝒖𝒑 𝒂𝒖 𝒎𝒊𝒄𝒐𝒏𝒂𝒛𝒐𝒍𝒆 𝒈𝒆𝒍 𝒖𝒎𝒑𝒂𝒌𝒆 𝒎𝒅𝒐𝒎𝒐𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒖𝒍𝒊𝒎𝒊𝒏𝒊 𝒇𝒐𝒓 𝒂𝒕 𝒍𝒆𝒂𝒔𝒕 7/5
 
Ilinitisha pia lakini nimeelekezwa na dokta ni kawaida ila unatakiwa kumsafisha,maji ya vuguvugu yaweke chumvi kidogo na tumia kitambaa kisafi.

Note;
Usitumie nguvu toa vinavyotoka

Kingsmann
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom