yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,553
- 3,515
Duuuh Sasa hii si hatari kwa afya zetu...looh
Hatari, mbaya zaidi ikiwa kwenye soda nyeusi unakunywa bila kuona huo uchafu
[/QUOTE
Wahusika KUJA HAPA ..
Wahusuk
Kampuni ya coca ni kweli ni mara nyingi mno kuku soda zao zina uchafu bila shaka huwa hawaoshi chupa
Vijana kwenye production hawajalipwa stahiki zao wanaamua kuvuruga reputation ya kiwanda kwa kutia mauchafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe chupa zake zilivyo utaona uchafu kweli, huwa tunakunywa tu hata mauchafuKwakua sinywi soda sina cha kusema si unajua deal ni hainihusu
Ni hatari sana kiafyaDuh, hata magonjwa tunaweza kupata kama mambo yako hivi.