Uchafu kwenye soda za CocaCola

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,542
3,502
Ni mara ya pili sasa nakuta uchafu kwenye soda za Coca.

Angalia picha hapa chini, huu uchafu upo ndani ya soda.

Je, hii si ni hatari kwa afya zetu?

20200630_192214-1.jpeg
20200630_192227-1.jpeg
20200630_185929-1.jpeg
 
Kwakua sinywi soda sina cha kusema si unajua deal ni hainihusu
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom