Watu wanaangalia pesa zaidiNimetembelea masoko mbalimbali hapa Tanzania, hali ya Usafi kwakweli huwa sio nzuri, takataka, harufu mbaya, mitaro ya maji taka, vyoo vina hali mbaya . Kwanini watanzania hatuna utamaduni wa usafi. Masoko haya yana uongozi, bwana afya.
Tustaarabike