Mtoto wa Golden Paste
Senior Member
- Jul 7, 2020
- 166
- 121
Sawa mkuuNenda hospital ukapimwe
Hapana, sijawahi kutumia kitu kama hicho mkuuKama unapenda Sana tigo au vumbi la mkongo pole yako
Mimi Kama mtaalam wa afya hilo ni gonorrhea kabisaHapana,sijawahi kutumia kitu kama hicho mkuu
Asante kwa ushauriKanunua dawa inaitwa doxylin au azuma utapona
Nashukur kwa ushauriMimi Kama mtaalam wa afya hilo ni gonorrhea kabsaa
Anza dose mapema
Hawa wanaona aibu kwenda hospital. Wanaelekezana dawa za kunywa.Cha kukushauri ni kwamba, kitaalamu haturuhusu mtu kuanza kutumia dawa kabla ya kujua aina ya ugonjwa ulionao, cha kufanya nenda hospital then ufanye vipimo though kwa hali ya kawaida hizo ni dalili za Gonorrhea au Syphilis (Kaswende). Hivyo nenda ucheki afya ukiwa pamoja na mwenzi wako then muanze tiba mara moja
Hawa wanaona aibu kwenda hospital. Wanaelekezana dawa za kunywa.
Baadae zikibuma, tayari gonjwa limeshasonga na pengine limesharibu sehem zingine.
Tulipoteza jamaa yetu kwa staili hizi.
Halaf saivi unafanyaje kavukavu jaman?
Shukran mkuuNenda kapime kwenye hospitali ya kuaminika.
Usiende huko vichochoroni.
Usinywe dawa yoyote kabla hujapima.
Zngatia hayo.
Asante kwa ushauri mkuuCha kukushauri ni kwamba, kitaalamu haturuhusu mtu kuanza kutumia dawa kabla ya kujua aina ya ugonjwa ulionao, cha kufanya nenda hospital then ufanye vipimo though kwa hali ya kawaida hizo ni dalili za Gonorrhea au Syphilis (Kaswende). Hivyo nenda ucheki afya ukiwa pamoja na mwenzi wako then muanze tiba mara moja
Unazuga, nenda Hosp na huyo aliyekukanyagisha gono dogo mpapate tiba.Hapana,sijawahi kutumia kitu kama hicho mkuu