Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,745
- 5,446
Sasa ni wazi tatizo la uchafu linarejea kwa kasi Dar. Tulikuwa tunaelekea kupunguza tatizo hilo baada ya kuwa tunachangishwa kiasi fulani cha pesa kwa kila kaya kwa mwezi ili kulipia ukusanyaji wa takatakata.
Kwa sasa utaratibu huo wa tozo ya takataka maendeo ya katikati ya Jiki umefutwa, nimemuliza Mtendaji, akaniambia hivyo, kwenye kikao cha mtaa, uongozi wa kata umegoma hata kuratibu tu ili tufanye utaratibu wa kutafuta mzoaji lkn wamegoma na kudai hawawezi kuratibu maana litawaletea matatizo na uongozi wa Manispaa.
Sasa pembezoni mwa barabara za maeneo pembezoni hali ni mbaya, taka zinatolewa majumbani zikiwa kwenye viroba usiku na kuachwa barabarani, kwa kipindupindu hiki sijui kama tutapona.
Vv