Ubwabwa wa Mombasa.....

aisee hii kweli ni hatari kuliko maelezo.....wao wanasema " ni maisha yetu"....duhh....Mungu tusaidie ulimwengu huu unakwenda wapi jamani....yaani kijana mwenye nguvu namna ile amelegeaaaaa...anaweka na manjonjo huku akidengua...hizi ni laana.
 
Aisee wana nguvu sana... na stigma yote hii wenyewe wanaishi ushoga wao mchana kweupe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…