Ubuyu wa Zanzibar

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Salaaaam wakuu Tunauza ubuyu toka Zanzibar wenye ladha hadhiimu yakusisimua

Kwa 3500 tu pakti Moja Kwa wakazi wa dsm Unaletewa popote ulipo pia mikoani tunatuma kwa mawasiliano call 0764813643 au whats app Usisahau jumla pia tunauza

Pia tunatoa offer kwa watako nunua zaidi ya pakiti moja we are welcome guys
6b011a50db6425ef6b029856f26cf7be.jpg
 
Unaongeza nguvu za kitandani? Maana siku hizi ukitaka kuuza sema inaongeza nguvu. Watanunua hadi ambao haujamaliza kutengeneza!
 
Unaongeza nguvu za kitandani? Maana siku hizi ukitaka kuuza sema inaongeza nguvu. Watanunua hadi ambao haujamaliza kutengeneza!
Singuvu tu inasaidia kupata mhemko zaidi bila kuchoka haraka ukiumumunya huu waweza enda dakika 90 kwa bed
 
Back
Top Bottom