S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,127 May 17, 2019 #21 Mathayo Fungo said: Wakina mama wa CHADEMA wakiuziana ubuyu ndani ya Bunge. Je hili ni jambo sahihi kwa mbunge kuifanya hii shughuli ndani ya Bunge? Nini maoni yako?? View attachment 1099980View attachment 1099981 Click to expand... Afadhali huyo aliyeko Bungeni, akimaliza kula ubuyu atachangina Hoja, vipi kuhusu hivyo viti vilivyo wazi, wameenda wapi ?
Mathayo Fungo said: Wakina mama wa CHADEMA wakiuziana ubuyu ndani ya Bunge. Je hili ni jambo sahihi kwa mbunge kuifanya hii shughuli ndani ya Bunge? Nini maoni yako?? View attachment 1099980View attachment 1099981 Click to expand... Afadhali huyo aliyeko Bungeni, akimaliza kula ubuyu atachangina Hoja, vipi kuhusu hivyo viti vilivyo wazi, wameenda wapi ?
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 22,755 Reaction score 34,613 May 17, 2019 #22 singojr said: Bora huyu ameweza kupata mteja. Rais wako mwaka unaisha hajauza hata kilo moja ya korosho. Click to expand... Hahahahahaha
singojr said: Bora huyu ameweza kupata mteja. Rais wako mwaka unaisha hajauza hata kilo moja ya korosho. Click to expand... Hahahahahaha
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 7,205 Reaction score 13,264 May 17, 2019 #23 Nimeipenda hii singojr said: Bora huyu ameweza kupata mteja. Rais wako mwaka unaisha hajauza hata kilo moja ya korosho. Click to expand...
Nimeipenda hii singojr said: Bora huyu ameweza kupata mteja. Rais wako mwaka unaisha hajauza hata kilo moja ya korosho. Click to expand...
Ngararimu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 288 Reaction score 500 May 17, 2019 #24 singojr said: Bora huyu ameweza kupata mteja. Rais wako mwaka unaisha hajauza hata kilo moja ya korosho. Click to expand... Cadema mna majibu ya shombo sana. Nina lmani huyu hawezi kuwa sugu.
singojr said: Bora huyu ameweza kupata mteja. Rais wako mwaka unaisha hajauza hata kilo moja ya korosho. Click to expand... Cadema mna majibu ya shombo sana. Nina lmani huyu hawezi kuwa sugu.