the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 894
Hii "Sudo" uzuri wake hata kama umelog in kwenye pc yako, ukirun hiyo command lazima utaombwa passwords, tofauti na Windows utaombwa password pale tu uko kwa un-administrated account.sudo apt install Ubuntu is the best
Ubuntu sio OS ni distro, os ni Linux na sio ubuntu.Ubuntu ni bonge la OS
Mkuu hili somo ni gumu kiasi fulani; kwamba Ubuntu siyo operating system, Au distros siyo operating systems, inachanganya kiasi fulani.Ubuntu sio OS ni distro, os ni Linux na sio ubuntu.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Inatemea unauzoef gan na Ubuntu ila bnafsi sijawahi tapa software nukaikosa kwenye UbuntuUbuntu ni nzuri shida yake ni kuna software nyingi tunazotumia uwezi kutumia kwenye ubuntu ,program nyingi zina run kwenye windows tu hata ukitumia wine kwenye Ubuntu sio zote windows app zinazoweza ku run hivyo chagua os kulingana na matumizi zako Na applications unazo zihitaji
So deep acha wengi waite OS tc very enoughUbuntu sio OS ni distro, os ni Linux na sio ubuntu.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Tumia whine, inakaaKwani microsoft office haikai kwenye ubuntu/linux mkuu?