Wa Bagamoyo
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 118
- 12
Eti wakuu OS gani niweke kwenye ka pc kangu? Matumizi yangu ni ya kawaida tu kama vile kuchapa assignments zangu, kudownload vitabu(software), muziki, videos n.k. UBUNTU sijawahi kuitumia so naomba ushauri wenu wakuu.
Nakushauri uweke windows kwakuwa ndiyo inayotumiwa na watu wengi itakuwa rahisi kwako pata msaada na softwares zake kirahisi zaidi
not true anymore!Nakushauri uweke windows kwakuwa ndiyo inayotumiwa na watu wengi itakuwa rahisi kwako pata msaada na softwares zake kirahisi zaidi
Hii post umeiandika ukiwa umefanya utafiti? Big lie!Tumia Windows 7 mkuu.. hayo mengine ni miyeyusho tu..
not true anymore!
Hii post umeiandika ukiwa umefanya utafiti? Big lie!
Sasa hivi whether utumie Windows, Linux au Mac utapata support tu. Mac support yake kidogo ni ngumu kwa kuwa watumiaji ni wachache (iko expensive na ina run basically ktk Apple hardware set). Linux ni very popular na unapata msaada wa kutosha tu. pia Apps za windows nyingi zina run ktk Linux with wine.
So anything kati ya Windows na Linux lakini kura yangu inaenda Linux, Ubuntu Linux 🙂
Nilianza na Ubuntu na sasa nipo LinuxMint na sijutii.
elmagnifico Ni kweli Mint wanatoa mpya baada ya mwaka lakini si lazima kuhamia huko, una-upgrade tu endapo unataka. Mimi niko na 12.04 muda wote ilhali wameshafika 15 'Olivia'
Pia si vizuri kwa mtu kuamua kutumia kile 'kilichozoeleka' tu au inatumika na watu wengi. Explore your options and go crazy!
Unatumia software gani? Kuna Fonts ambazo ni OS Specific inabidi uzikwepe (kuna fonts za ubuntu tu na zingine ni Windows tu)last time kwenye linux ukichapa kazi ikija kwenye window lazima ivurugike unaedit upya hili tatizo limeshakua solved? sababu litakua kikwazo kikubwa kwenye kuchapa assignment.
Unatumia software gani? Kuna Fonts ambazo ni OS Specific inabidi uzikwepe (kuna fonts za ubuntu tu na zingine ni Windows tu)
Sijaelewa inavurugikaje. Labda ungeweka sample Doc ili kuliweka wazi zaidi!
sample ya doc sina ila ni hivi,
ukichapa kazi lets say mstari mmoja una maneno 15. ukifika kwenye windows mstari mmoja unakua na maneno 14 hivyo neno la 15 linajishusha chini hii inaharibu kazi nzima maana vichwa vya habari vinaenda next page kama kuna mchoro unahama.
hii ni kwamba soft za linux hazipo compatible na original microsoft office ya windows ambapo printer zimekua designed kuprint.
same issue imenitokea nikichapa na symbian au android
Was Ubuntu mtajitetea saana ila ukweli uko wazi!! Tatizo la Linux nyingi hazina support unakuta inatoka mfano Linux mint wanaipa support Kwa mwaka mmoja inatoka nyingine, os ndogo haifiki haata gb 2 mtu hushtuki? Me natumia Ubuntu Kwa live CD tu siwez kuiweka kwenye PC yangu ni usumbufu!! Mleta mdada nakushauri weka 7 au 8 then tafuta Linux yoyote burn kwenye CD siku ukiihitaji I run kama live CD bila kui install ... cha muhimu jifunze kutumia live CD za Linux basi!!