Ubunifu

Chungwa kalimenya utadhani chenza.....
Kama kisu hamna, Kiongozi utafanyaje?

Njia mbadala ni Kuchomeka kidole utosini mwa Chungwa na kuanza kubandua maganda.

Sema kinachoniudhi ni ule moshi wa Machungwa kutapakaa mikononi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…