Mkuu huu ubunifu nisafi lakini usipompelekea yule babu wa kukata utepe basi huwa haujakamileka ili na yeye aowone kile kilicho taka kumchukua uhai wake na kabla ya kwenda kwanza ulezia vipi yupo au ameinda india kufanya chekap lakini usiache kumuwonisha na ufunge utepe na mkasi huwa anatembea nao kwenye mfuko wa koti no tusi