![]()
Kazi kubwa ya kukisafisha Je utakisafishaje hicho choo?
Gefu while others are moving forward we are doing it opposite...!!!...mtambo wa UTI na KIPINDUPINDU,mbunifu hakuzingatia mambo mengi ya msingi ktk ujenzi wake,alipaswa kuangalia technologia ya sasa imefikia level gani ili ajaziemo kitu kuliko kujenga kitu kilichotumika miaka ya 1840...
Kwani wao waweze wana mini na sisi tushindwe tuna nini ?? Huwa nakosa majibu sana katika hili....!!!
Uzalendo, utashi na utayari wa kufanya jambo lenye manufaa kwa wote ni misamiati migumu sana kwetu..!