Ubunifu uliofishwa na utandawazi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,758
729,999
s.jpg
 
ila kwa nini umeweka limti wenzio wanaweka kamba. Naona mwenyewe mapozi ya picha unayaweza toka enzi hizo
Nope, ujue me napenda uniqueness, so nilidesign kwa miti ili kuleta utofauti na wengine . teh mapozi nilianzia tangu tumboni
 
Daah, vinanikumbusha hivi vidude,nivibua vyembamba vya shina la muhindi, nilikuwa navihesabu huku nalia kwa bakora za mzee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom