Ubunifu maridhawa

Ubunifu maridhawa

Ametumia akili ya kuzaliwa

Hongereni watoto! wa-Bongo wengine tena watu wazima kabisa wangekujoa sakafuni kwenye tiles! Kama unabisha Nenda uwanja mpya wa Taifa uone vinyesi kwenye masinki ya kunawia mikono - unajiuliza mtu alikaliaje pale ili kujisaidia hupati jibu!
 
Back
Top Bottom