Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,342
- 34,747
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anaweza kudhani unamtukana kwa kumuita WiFi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anaweza kudhani unamtukana kwa kumuita WiFi
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeni ujanja tu,
nimewahi jaribu mara mbili kumbe ni uongo..
ni WiFi isiyojulikana...
hahahaKonda hats WiFi hajui ni nini
[emoji41] [emoji41] [emoji41] ataweka labda huenda...ila mkuu watu si mtakuwa mnaigombania sasa FREE WI-FI na Free sockets??Angeweka Switch sockets tuchaji Simu zetu
Be careful hakunaga cha bure duniani
Be careful hakunaga cha bure duniani
Full package unavyoweza kufanya kwenye simu yako mkuu.Hiyo free wifi si kwa social network tu??
Sasa hayo unayoyaita "mamwendo kasi" siku hizi ni full kero, utakuta watu wanakaa mpaka kwenye ngazi, sasa basi fungua mdomo umwambie hapo siyo sehemu ya kukaa pisha nipite!!.Huo ndo ujasiriamali unaotakiwa,yaani mtu uwe na utofauti na wengine ................Ma mwendo kasi yetu nayo yangekuwa na huduma iyo mbona ingetuvutia hata sie tusiokuwa tunaishi kimara tungeamia huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anaweza kudhani unamtukana kwa kumuita WiFi
Mkuu Joseverest unachokizungumza na avatar yako viko tofauti HahaUbunifu mzuri
How?
ahahah kawaida mkuuMkuu Joseverest unachokizungumza na avatar yako viko tofauti Haha
Ili kuitumia lazima wenye basi wakupe nenosiri yao.Kila siku watanzania wanazidi kua wabunifu, kutokana na tatizo la foleni na umbali wa safari kutoka Kariakoo hadi Tegeta nyuki, huyu mjasiliamali kaamua kuweka WiFi kwenye daladala zake na kuwawezesha abiria kupata free internet connection.
View attachment 589805 View attachment 589805