khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 212
Wakuu habari!
Nipo naifikiria hii project "During an emergency at your home, there are times when you may be unable to speak or think clearly. #CARDOFLIFE itaongea kwa niaba"
Nataka nifanye hii project ya wanachi kutengeneza card of life baada ya kufanyiwa vipimo vichache au kuja na document zinazo support matatizo yao ili ikifika kipindi kazidiwa iweze kuwa rahisi kupewa huduma na kurahisisha diagnosis..
Hii itakuwa ni mobile project ambayo itawafuata wananchi mitaani kwao pia na plan ya kutengeneza a big database of this ili kila hospital iweze kupata info online kwa mgonjwa husika pale panapohitajika..
Hiyo ni sample tu, naombeni mchango wenu na mawazo yenu wakuu
Ahsante