Ubunifu ! au ....

mwanzoni sikuwa nimekuelewa...hahaha bonge ya ubunifu asee..
 
Wamekalia viti mithili ya miguu ya binaadam.

Ni ubunifu tu
 
Kwa raha zao na kujinafs na vazi lao la abaa na nikab zao za uarabini na ziko poa tuu
 

Kama hukunyonyeshwa maziwa ya mama yako kikamilifu ukiwa kinda huwezi elewa kitu.

Utabaki kumbwelambwela tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…