Ubungo na Kawe kuwaka moto Oktoba

Ubungo na Kawe kuwaka moto Oktoba

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
CCM imedhamiria. Imepania kwelikweli. Kuifanya Dar es Salaam kuwa UPINZANI FREE ZONE.Kama ilivyo Dodoma. Mikakati imesukwa na imesukika. Majimbo ya Ubungo na Kawe sasa yako chini ya CHADEMA. CCM imeapa kuyarejesha majimbo hayo kwa njia ya sanduku la kura hapo Oktoba mwaka huu. Bwana John John Mnyika na Bibi Halima Mdee wakae chonjo. Majimbo yote ya Ilala,Kinondoni,Kawe,Ubungo, Segerea,Ukonga,Temeke na Kigamboni yanapaswa kuwa ya CCM.

Wametafutwa na kupatikana wagombea wa kuyanyakua majimbo yote ya Dar es Salaam. Tunazo taarifa kuwa wapinzani wetu nao wamejidhatiti kunyakua majimbo kadhaa humu Dar es Salaam. Lakini,tutaibuka kidedea kama chama tawala na chama komavu. Tukutane Oktoba tutakapotaka kuyakomboa majimbo ya Ubungo na Kawe na kuyatetea mengineyo.

Oktoba, mtoto hatumwi dukani!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Ccm wana msimamisha nani?au ccm wana msimamisha zito?
 
Wakazi wa ubungo wanajua thamani ya John Mnyika awapo bungeni, jimboni na sehemu yoyote inayohusu uwakilishi, halafu maeneo hayo watu hawajahongwa nyumba za nhc kama ilivyo ilala na kinondoni.

Ubungo wananchi wamejijengea nyumba wao wenyewe, hakuna mwenye nidhamu ya woga hata mmoja.

Pole sana mzee Tupatupa, waambie lumumba kuwa mikakati yao inafanana na mipango ya kumtahiri paka.
 
CHADEMA kwenye majimbo ya Dar kwa kushirikiana na UKAWA wameshamaliza kila kitu sasa (majimbo yote yapo mikononi mwao) wanamalizia mkakati ya Kuchukua magogoni. Wewe endelea ku-post ripoti za ramli huku wakati wenzenu wanafanya kweli
 
Mnyika,Mdee majimbo waliazimwa kwa makosa ya kura za maoni.Ujinga ni kwenda si wakati wa kurudi.

wewe poyoyo hunaga hoja hata siku moja, sijawi ona humu umendika zaidi para moja
 
Mkuu asikupe tabu maana ya jina MINGOI inamaanisha viuno,muulize Ally Choki aliimba akiwa twanga,yawezekana huwa anafikiria kwa kutumia kiuno mkuu.
 
Elimu ya bure kwa msiofahamu,kama si kuondolewa jina la KIPI WARIOBA kuwa mgombea wa CCM Kawe leo Halima Mdee asingekuwa mbunge Kawe.Kama si kuondolewa jina la NAPE Ubungo leo Mnyika asingekuwa mbunge Ubungo.

Mwenye kujua kutukana atukane,mwenye kubisha na abishe.

Ninaishi jimbo la Kawe.

Dar es salaam haina siasa za upinzani.

Karibuni
 
Kwa hiyo wajinga ni ccm wenyewe???na asimamishwe Kipi Warioba mwaka huu ili Ccm wakomboe jimbo!
 
Ubungo CCM atasimama mjumbe wa NEC kupitia wilaya ya Kinondoni Mh. CALIST LYIMO. Jembe la ukweli la Kinondoni
 
Mnyika,Mdee majimbo waliazimwa kwa makosa ya kura za maoni.Ujinga ni kwenda si wakati wa kurudi.

duuh! Leo mingoi anaenda sawa na mdingi wa limumba! Kaz kwelikwel but the truth is you guys must be dreaming a daydream 12hours!
 
CCM imedhamiria. Imepania kwelikweli. Kuifanya Dar es Salaam kuwa UPINZANI FREE ZONE.Kama ilivyo Dodoma. Mikakati imesukwa na imesukika. Majimbo ya Ubungo na Kawe sasa yako chini ya CHADEMA. CCM imeapa kuyarejesha majimbo hayo kwa njia ya sanduku la kura hapo Oktoba mwaka huu. Bwana John John Mnyika na Bibi Halima Mdee wakae chonjo. Majimbo yote ya Ilala,Kinondoni,Kawe,Ubungo, Segerea,Ukonga,Temeke na Kigamboni yanapaswa kuwa ya CCM.

Wametafutwa na kupatikana wagombea wa kuyanyakua majimbo yote ya Dar es Salaam. Tunazo taarifa kuwa wapinzani wetu nao wamejidhatiti kunyakua majimbo kadhaa humu Dar es Salaam. Lakini,tutaibuka kidedea kama chama tawala na chama komavu. Tukutane Oktoba tutakapotaka kuyakomboa majimbo ya Ubungo na Kawe na kuyatetea mengineyo.

Oktoba, mtoto hatumwi dukani!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Hiyo CCM inayokusudia kuyarejesha majimbo hayo ni ipi, hii hii au kuna ingine. mimi nilidhani kuliko kufikiria kuyarudisha majimbo hayo basi mkakati uwekwe kuhakikisha majimbo mengine hayaangukii UKAWA. Tungoje tuone Oktoba si mbali.
 
Back
Top Bottom