Ubungo miongoni mwa halmashauri bora 17 Tanzania

Ubungo miongoni mwa halmashauri bora 17 Tanzania

Hii halmashauri ya Chadema
Maendeleo hayana vyama viva Meya Jacob
 
Miundombinu ya halmashauri ya ubungo ni mibaya mno, maeneo mengi ni makazi mapya. Wajenge barabara bwana.
 
Barabara Mbovu

Hiyo Halmashauri Bora kwa Lipi??
Kutoa Mikopo ya Kudanganya watu sio??

Miundombinu ya Ubungo bado sana Na Aibu mpaka leo wamekodi Ofisi za Halmashauri kwa Mtu Binafsi kule Kibamba na Wakati wana Eneo kubwa limebaki kuwa pori

Acheni kutoa sifa za Kinafiki
 
Kwanini huyo waziri asingetoa takwimu kamili za halmashauri zinazofanya vizuri?

Ni vyema pia vigezo (vinavyoweza kuhakikiwa) na njia (methodologies) vilivyotumika kuzifanyia tathmini hizo halmashauri vikajulikana.

Pia tuzo mbalimbali mfano fedha nk, wanazopewa kwa kufanya vizuri ziwekwe wazi kwa kuwa zote ni fedha za walipakodi wa Tanzania.

Taarifa nusu nusu hazina tija sana. Tujenge utamaduni wa kuomba kupewa taarifa kamili na kujua vitu kwa undani.

Uwazi utasaidia sana kutoa changamoto kwa halmashauri nyingine nazo kuongeza bidii.
 
Back
Top Bottom