Idadi kubwa ya magari yashindwa kupishana katika makutano ya Ubungo Mataa kwa saa mbili sasa, hakuna trafiki na foleni imefunga pande zote.
Dah! Na mimi ndio nakuja huko bodaboda zingekuwa salama ningepanda bahati mbaya ilishawahi kunimwaga kwenye rami sitathubutu tena.Idadi kubwa ya magari yashindwa kupishana katika makutano ya Ubungo Mataa kwa saa mbili sasa, hakuna trafiki na foleni imefunga pande zote.
yenyewe yanapita juu??siku nzima itaishia hapohapo kwenye foleni,..
Mkiambiwa muachane na private mtumie public transport kwa muda huu ujenzi ukiendelea hamuelewi,.
Hamna wa kulaumiwa hapo!!
Kuweni wavumilivu mpaka hapo mtakapopata suluhu maana hata busara ya kumruhusu mwenzio apite kwanza naona imegonga mwamba kila mtu anajidai ana haraka kuliko mwenzake!!
Mkuu, tatizo hapo sio barabara kufungwa, ni kila mtu kujifanya Ana haraka. Madereva wa Dar huwa wanatumia m.a.k....... Kufikiri. Watakaa hapo mpaka ATOKEA kichaa kuwaongoza, maana wenyewe hawana akilisiku nzima itaishia hapohapo kwenye foleni,..
Mkiambiwa muachane na private mtumie public transport kwa muda huu ujenzi ukiendelea hamuelewi,.
Hamna wa kulaumiwa hapo!!
Kuweni wavumilivu mpaka hapo mtakapopata suluhu maana hata busara ya kumruhusu mwenzio apite kwanza naona imegonga mwamba kila mtu anajidai ana haraka kuliko mwenzake!!
Mkuu, tatizo hapo sio barabara kufungwa, ni kila mtu kujifanya Ana haraka. Madereva wa Dar huwa wanatumia m.a.k....... Kufikiri. Watakaa hapo mpaka ATOKEA kichaa kuwaongoza, maana wenyewe hawana akili
Niko Ubungo mkuu, naishi Kimara. Sijui Kama umeelewa comment yangu? Ni kuwa, vyovyote iwavyo, ni bora tukaachiana nafasi ili hata Kama ni taratibu magari yakasogea. Sasa hivi pale kati magari yameshiana na kila mtu anataka awe wa Kwanza kupita nafasi ikipatikana, matokeo yake ndio hakuna kinachoendelea. That is my concern mkuuMara ya mwisho kupita Hapo Ubungo ilikuwa mwaka gani?
Idadi kubwa ya magari yashindwa kupishana katika makutano ya Ubungo Mataa kwa saa mbili sasa, hakuna trafiki na foleni imefunga pande zote.