Ubungo Junction 2060

Mkuu TCleverly, unamaanisha post yako #4 hiyo 2060 restoration ya mazingira itakuwa imefikia kiwango cha kuufanya mto unaopita pale Landmark Hotel na nyuma ya TBS kurudisha maji kama ilivyokuwa wakati wa uumbaji!?
 

kama ulikuwepo....tunajenga canal hapo boat zinakatiza kwahio utaamua uchukue boat au gari/basi...
 
hahahahahah thubutuuu ila njia kama hizo haki ya nani ukidumbukia bahati mbaya mpaka upate pa kugeuzia ni km 10..
 
Sisi Ubungo tu panatushinda. Unakaa foleni pale masaa 3!
 
hahahahahah thubutuuu ila njia kama hizo haki ya nani ukidumbukia bahati mbaya mpaka upate pa kugeuzia ni km 10..
 
nakuambia itakua ndoto hebu jaribu kuangalia maendeleo yaliyopatikana kuanzia mwaka 1961 mpaka leo ni kiasi gani halafu ujaribu kufikiria miaka 46 ijayo ili kufikia hiyo 2060 uone kama kuna chochote cha ajab kitakachotokea. labda vyama viwe vinabadilikabadilika kuongoza nchi na watu wazalendo haswaaa wenye hofu ya Mungu.na matabaka yakipungua hapo labda kidogooooo
 
Mwaka huo kama bado nkiwa hai ntakua naitwa bibi...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hapo pre-feasibility studies zake tu zinachukia 30years,ujenzi 45years.

Upembuzi yakinifu unaenda phases mpaka 2000 hadi makabrasha yanapotelea wizarani.

Aliyeahidi kurudi mwishowe atarudi tu.
 
labda tubadilishane nchi na wajapani kwa karne 1.tuhamie Tokyo na waje huku then after 100 turudishiane.
 
watu mmekata tamaa kabisa.tutafika tu si mnajua 2030 hivi mafuta na gesi vitakuwa tayari sokono,nchi itakuwa kama DUBAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…