Ubungo hatuna umeme hadi muda huu Waziri Makamba jitafakari sana

Unaweza weka mfano mmoja tu hapa? Nasema hivi kwa sababu kuna watu mkiambiwa ukweli mnasema mmetukanwa. Naomba mfano mmoja tu kutoka kwa member yeyote ili kila mmoja aone kweli hilo ni tusi.
 
Swali langu halifanani na Tembo anafananaje.Kama unatumia mfano wa Tembo basi swali langu nililouliza ni Tembo wanaplay role gani katika ecology.Hili swali lazima ujibu kwa kutumia tafiti.

Unaelewa maana ya tafiti?Ulitumia conceptual framework gani katika tafiti yako?
Huo utafit gani ambao ulifanya ukawa general hivo.
Husemi unaongelea maendeleo yapi,
kiuchumi, kisiasa, kijamii, technolojia, kiutamaduni, utawala bora, haki za binadamu.
Wewe utafiti wako ulihusisha kipi kati ya hivo au vyote?
Na kwa mataifa yapi au dunia nzima?
Toa scope ya utafiti wako na data ulichukulia wapi.
 
Huwezi kamwe kuniuliza swali lolote lile nikujibu kwa sababu mpaka sasa hivi hujajibu swali nililokuuliza.Huna haki yoyote ile ya kuniuliza swali wakati hujajibu swali langu.Huwezi kujificha kwenye chaka la kuniuliza maswali kama njia ya kukwepa kujibu swali langu.

Swali langu lipo palepale na nitaendelea kukukumbusha hadi utakavyolijibu.Swali lilikuwa ni hili hapa:Unavyodai kwamba Tanzania demokrasia haina uhusiano chanya na maendeleo,je hayo ni maoni yako binafsi au ni kwa mujibu wa tafiti?
 
Huwezi kamwe kuniuliza swali lolote lile nikujibu kwa sababu mpaka sasa hivi hujajibu swali nililokuuliza.Huna haki yoyote ile ya kuniuliza swali wakati hujajibu swali langu.Huwezi kujificha kwenye chaka la kuniuliza maswali kama njia ya kukwepa kujibu swali langu.

Swali langu lipo palepale na nitaendelea kukukumbusha hadi utakavyolijibu.Unavyodai kwamba Tanzania demokrasia haina uhusiano chanya na maendeleo,je hayo ni maoni yako binafsi au ni kwa mujibu wa tafiti?
Ni kwa muujibu wa exprience yangu kuishi Tanzania
 
Ni kwa muujibu wa exprience yangu kuishi Tanzania
Experience haina nguvu ya kuibua facts kwa sababu ni kitu personal na kinatofautiana kati ya mtu na mtu ukilinganisha na tafiti ambazo zinatumia karibia kanuni sawa dunia nzima katika kuibua facts.

Kwa hiyo maoni yako kwamba demokrasia haina uhusiano chanya na maendeleo hapa Tanzania ni bias na subjective na hayana mashiko na yanapaswa kutupiliwa mbali.
 
Watu wamepanga foleni ya kujaza gesi kwenye magari zaidi ya masaa 12 kisa umeme wa mgao......kuna watu hawana jipya, bora turudi kwenye uchaguzi.
 
Back
Top Bottom