Ubungo Bus Terminal

mm nimeingia pale jana asubuhi sana..........wakati natoka, nimetoa 300 yangu, naona yule mama ananikodolea macho, kama vile ....si uende tu kwani unahitaji receipt? nikawa mkali, nikamwambia leta receipt hapa!
Na huo ndio uhuni wao kwani wanataka kuiuza mara ya pili ili waiweke mfuko wa pembeni. Watu wa ajabu, wanaiba lakini hawafanyi lolote la maana
 
Tehe tehe teheeeee....karibu Daa, bila shaka umekuja na Chamaki Nchanga!
Asante nishakuwa na mwenyeji kabisa sasa. Chamaki wengi tu. By the way kuna kitu kimenifurahisha kwenye avatar yako ila nitakuambia baada ya kuisha kwa Pasaka ili nisijevunja ahadi yangu
 
Back
Top Bottom