Ubunge unashuka thamani

Ubunge unashuka thamani

Sababu ya kwanza ni ukosefu wa ajira zinazolipa. Sababu ya pili, ubunge unapatikana kwa rushwa au umaarufu na sio nia ya kuwatumikia wananchi. Sababu ya tatu ni kwa sababu siasa inalipa sana hasa upepo ukikuendea vizuri ki siasa.
 
Mnaongozwa na Mdokta hali mbaya, nanga zinapaa hewani, saivi wanakuja wasanii, natafuta nchi ya kukimbilia, upuuzi umezidi nchi hii sasa.
 
ukisema maadili yameshuka then haujakosea ndo maana kila mtu anajiona kiongozi hata kwa wale wenye tabia chafu
 
Naungana na mtoa mada ubunge umeshuka thamani sana ndo maana hadi akina shilole+wema+uwoya+steve wanautaka
 
Sasa kama watu wa aina ya akina SUGU au LEMA eti nao ni wabunge. Hii Lazima itakuwa kazi ya kudharauliwa
 
Back
Top Bottom