gilbert14
Senior Member
- Oct 17, 2014
- 117
- 17
Harakati ndani ya chama cha mapinduzi CCM kumpendekeza mbunge mtarajiwa wa Serekali ya awamu ya tano kiukweli hali si nzuri kwa pande zote mbili ndani ya chama, huku wagonbea wakizidi kumiminika wapo akina Hancy Mmasy.
Sasa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi bw Moris Makoy anaonekana nae kulinyemelea jimbo.
Sasa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi bw Moris Makoy anaonekana nae kulinyemelea jimbo.