Ubunge Kigoma Kusini

Ubunge Kigoma Kusini

Kwa nini unataka kugombea yaani sababu iliyokusukuma wewe kutangaza nia hii ni nini...????
 
Usomi sana sio sifa ya kuwa kiongozi, piga kazi na tumikia wananchi, watafutie maelezo juu ya namna ya kutatua shida zao
Nakubaliana sana na wewe mkuu ila naamini kiongozi bora akiwa na shule nzuri anakuwa bora zaidi
 
ubunge wa kigoma kusini unakwenda ccm,mimi ni mpiga kura nipo Mpeta kata ya Mganza chadema hawana chao kigopma yote
 
utagombea uende bunge lipi? la tanganyika au la tanzania?
 
Kwa nini unataka kugombea yaani sababu iliyokusukuma wewe kutangaza nia hii ni nini...????
Swali zuri.Moja nimewatumikia watanzania kwa miaka minane sasa nikizunguka mikoa karibu 20 ya Tanzania,nikipita mjini na vijijini-Ndugu Watanzania ni masikini usipime-Ukombozi unahitajika haraka
Mbili-Nimejielimisha kwa kadri ya uwezo wangu- sasa ni wakati wa kutumia elimu yangu kwa faida ya wote.Mfano.Ndugu unajua kama diri la kuwapiga ban wakulima wa Tanzania wasiuze nje mazao yao kwa kisingizio cha njaa linawafanya wawe na njaa zaidi kuliko kama wangeuza nje kwa bei nzuri? sera mbovu zinamfanya MTZ awe masikini zaidi-

Tatu-Naamini naweza kuwatumikia watanzania vizuri zaidi kwenye nafasi hiyo kuliko ilivyo sasa-I believe I have not be used at my full capacity

That's why nataka kwenda mjengoni
 
ubunge wa kigoma kusini unakwenda ccm,mimi ni mpiga kura nipo Mpeta kata ya Mganza chadema hawana chao kigopma yote
Duh mwanangu pole.Kama unajua hisabati kidogo kuna kikanuni kidogo sana kinaitwa cross multiplication tukifanye pamoja.Miaka 50=hali uliyonayo hapo mganza ( nahakika nyumba yako umeezeka kwa nyansi (Insovu au Ubhuyange).Je baada ya miaka mingapi utakuwa angalau unaishi kwenye nyumba ya bati na ikawa na umeme pamoja na kuwa karibu kabisa na maporomoko ya mto malagarasi.Nichague na waambie wenzio wanichague ili tubadilishe hii EQUATION
 
Mawazo yako kama mbunge wa majita! kama ungesema hivi shinyanga sijui ungekuwa wapi?
Shinyanga ipi?maganzo,Mwamalili,Kishapu,old shinyanga,Tinde,Maskati,Ibinza mata,Nkokoro,Lubaga,Iseramagazi au wapi mkuu
 
Wanajamvi naomba kuwataarifu kuwa ninapiga jalamba kwa ajili ya kugombea ubunge jimbo la Kigoma kusini kwa Tiketi ya chadema.Mimi ni msomi mwenye shahada katika fani ya uhandisi.

Mwezi wa kumi na mbili nitakuwa jimboni humo kwa maadalizi.

Nawasilisha

Kama unataka kwenda kugombea ubunge kama sehemu ya ajira nenda kagombee kwa tiketi ya ccm.

Kama unagombea kwa ajili ya kuwakomboa watanzania waliopigika karibu chadema
 
Back
Top Bottom