KISANTILITEDI
Member
- Dec 31, 2009
- 96
- 27
Mkuu Cathbert,
Kuna ahadi ambazo Mbowe alituahidi wapiga kura wake kwenye kampeni mwaka 2000,alitekeleza 100% na zingine akatekeleza hata amabazo hazikua kwenye ahadi zake za kampeni kama umaliziaji wa majengo Lyamungo sekondari,vifaa kama computer nk
Mzee hebu sasa kuwa fair.
Pia vipi huyo jama aliyepewa ukamanda wa wilaya ya Rombo huyo ndugu Prosper Silayo?
Hilo nalo ni tatizo ila jamaa nguvu yake kubwa inatoka kwa Mwenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro Vicki Nsilo Swai
View attachment 9848
Mama Vicki Nsilo Swai (ktk)
Huyu Mama ana nguvu sana kwa mkoa wa Kilimanjaro na yeye ndiye anasuka mpago wa kumngoa Mzee Ndesamburo jimbo la Moshi mjini.N hivi karibuni wataitisha harambee maalumu ya kuchangia CCM ili kumngoa Mzee Ndesa.
Hana lolote alisha gombea akashishindwa, sasa hivi Mh Fuya amepata neema barabara aliyo ahidi wapiga kura itajengwa inajengwa ambayo ilikuwa ni kero kubwa kwa watu wa masama hivyo ni vigumu mtu kumshindaMkuu,itakuwa vizuri kama ungetujulisha huyo Bw.Meena ni nani? au tupatie jina lake kamili!
Kuhusu jimbo hili la Hai ni kati ya majimbo ya kushangaza sana. Utaniuliza kwa nini? Sina kumbukumbu kama alishawahi kutokea mbunge aliyeweza kutetea kiti chake ktk jimbo hili (Naomba wenye historia sahihi wanijuze). Kabla ya kuuliza nani agombee mwaka huu na atoke chama gani, ni lazima tujiulize kama hawa wananchi wa Hai wanamwitaji mbunge au la? Walishajaribu wabunge wa CCM, TLP, na CHADEMA lakini bado hawajapata mwakilishi wanayemtaka. Ni lazima tuwaulize watu wa hai kuwa wanamtaka mwakilishi wa namna gani na awafanyie nini? Ukiangalia mbunge wa sasa Ndg. Fuya hakuna alichokifanya kwa kipindi cha miaka karibia mitano.
Ninaomba tufahamu wazi kabisa jimbo la Hai linahitaji a serious person, sio watu kama akina Fuya. Wanaowafahamu wakazi wa eneo hili watakubaliana nami kuwa ni watu wasio na maneno mengi bali vitendo. Kwa maoni yangu hili jimbo linamwitaji mtu makini kuliko tunavyoonekana wengi kujadili hapa. Kama hayupo ni vyema wakae bila mbunge kwa kipindi cha miaka mitano ili pia wapime faida na hasara za kuwa na kuto kuwa na mbunge.
Ninazungunza kama mzawa wa Wilaya na jimbo hili.
Hizo hela za kujenga madaraja kuwaadaa wananchi kapata wapi?ma atazirudishaje kama cyo kufanya ufisadi
Hilo nalo ni tatizo ila jamaa nguvu yake kubwa inatoka kwa Mwenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro Vicki Nsilo Swai
Mama Vicki Nsilo Swai (ktk)
Huyu Mama ana nguvu sana kwa mkoa wa Kilimanjaro na yeye ndiye anasuka mpago wa kumngoa Mzee Ndesamburo jimbo la Moshi mjini.N hivi karibuni wataitisha harambee maalumu ya kuchangia CCM ili kumngoa Mzee Ndesa.
huyo meena ni nani? Kuwa na phamacy arusha na moshi ni kigezo cha kushinda kweli?