Ubunge Iramba Magharibi

Naona mheshimiwa mwigulu siasa anazihamishia makanisana leo yupo mlandizi kwenye uzinduzi wa kanda
 

kwani Mbowe ni rais?
 
Mwigulu ukituhakikishia kuwa umekoma kufanya ule uhuni wako wa kupora wake za wenzako, kununua shahada, kuiba kura, kugawa pesa kwa kuwahadaa wanyonge, na kuwalamba miguu matajiri utapata kuungwa mkono kataka harakati zako za kuwaletea maendeleo wananchi wako.
Just say something brother
 
Hivi kuna Sharcole wangapi?
Mods wameruhusu vipi id mbili zinazofanana?
Au Shardcole ni mwendawazimu?
Maana kuna thread amepost kama mtu aliye katika mrengo wa kati.
 
Tunajua ulishinda kura ya maoni kwa nguvu ya pesa za Lowassa.
Nia ya Lowassa kuwaangusha wasiomuunga mkono ilijulikana mapema, na wewe ulikuwa kipenzi cha Lowassa, ambapo kwa Iramba alihakikisha Kilimba na Mgana hawarudi mjengoni, kwa Mtera akahakikisha Mwendawazimu anamwangusha Tingatinga, na Rorya anapita Lameck, na kule Njombe anapita Rasta.
Sasa huyo Mungu wenu mwenye nywele nyeupe tayari keshakosa nguvu mbele ya Mungu wa Kweli, tegemeeni anguko kuu linalokuja 2015
 
Biggggggggggg upppppppppppppppppppp Man! U think in very +ve way. Take challenges b4 challenged, that is fighting. They must know and recognize the movement of u people.
 

Ukapimwe akili. Jitahidi uwahi pale milembe dodoma.
 
Mmemsikia huyu mzinzi kuwaita wenzie mbwa, 2010 hakukuwa hata na upinzani mzito lakini ulitawanya rushwa kama unaharisha, makanisani ndo usiseme. Uliomtoa Iramba sio kipimo cha kweli kwani alikuwa boya kama wewe tu.mtaji wako sio kusimamia haki kama kina Tundu Lisu bali ni elimu ya uraia wanayokosa ndugu zangu...lakini hakika round hii ukipenya tutakuacha milele kama Mgabe
 

mkuu.heshima mbele.huyu mtu anajigamba aliwatoa ulimi wenye mbwa.je mbwa.nasisitiza huyu mwigulu kavimbiwa madaraka.sisi tutakuja kama kolabo la umbwa mwitu.si anasema alitoa ulimi wenye mbwa.basi kutana na jeshi la makamanda watakaokuwa wanakushambulia toka mwanduigembe hadi mkonze alikodanganya.safar hii hatukutoi kwa nguv ya uma kwa sababu ya midevu yake.la.bali ameshindwa kutimiza ahadi alizotumwa na mungu wake mzee mamvi.viva cdm.
 
mwigulu utamshinda kamanda,si unajua ile tabia yake alofanya igunga,waeleze wananchi
 

Mkuu wewe yaelekea kuna nati zimekatika kichwani kwako. Jaribu kumwona daktari haraka, kwa namna hii hata magamba hawatakutaka. kumbe Lusinde mko wengi.!
 
Shardcole sasa nimejua rangi yako. Angalia usije ukajiBingo wa Muthalika.
 
Mkuu wewe yaelekea kuna nati zimekatika kichwani kwako. Jaribu kumwona daktari haraka, kwa namna hii hata magamba hawatakutaka. kumbe Lusinde mko wengi.!

jamani sio mimi real shardcole nilopost huo ujinga bali nahisi kunamwendawazimu mmoja alipost pasipo hizni yangu kwa kutumia username yangu bkoz nilisahau kulog-out.
Samahani san mkuu kwa niaba ya huyu gamba aliyetumia my username.
 
Mwigulu ang'oke, ni mtoa rushwa, na abishe tumsikie, Nimepata taarifa za kuaminika kuwa, kwenye kura za maoni alitumia wanakijiji woote kijini kwake kumpigia kanakwamba ni wanaccm, alishapigwa doro na juma kilimba. Ni wa kuogopwa kuliko ukoma.
 

Mwigulu,
Hata Nyamagana hapakuwa na mgombea wa CDM 2005. Kilichotokea unakijua. Jiandae tu kupumzika kwa amani. Dk Kitila Mkumbo anakuja kulikomboa jimbo! Lakini utakuwa umeweka historia nzuri for being One Term MP!
 
Shardcole sasa nimejua rangi yako. Angalia usije ukajiBingo wa Muthalika.

dada jane sio mimi nilopost huo uwendawazimu bali kuna agent wa shetani mmoja(gamba) katumia my username kupost uchafu huo pasipo hizn yangu bkoz nilisahau kulog-out.
Mimi sio gamba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…