Ubunge Iramba Magharibi


perrecy ugula.turudi nyumbani kutoa elimu ya uraia.mimi sisemi sana unayajua matatizo ya nyumbani.hebu tuungane humu tunaotoka huko.kwa ukombozi!
 

Hakikisheni mnamtoa huyo Mwigulu kicheche wa wake za watu, kwa jinsi ninavyowajua wanyiramba mnaweza fanikiwa kwa urahisi kwani ni wepesi wa kushika somo ingawa pia upande wa pili wa shillingi....."Nkyalu munkunza mukate nama"
 

Mwana wa shetani na mwanaharamu wewe,kama huwa unaingia kanisani ama msikitini sala zako hazina mashiko mbele ya mola,au dini yako ni ccm kama mitumia tumbo mingine?
 
''Iramba Nkuru kuliko Tanzania'', matatizo yetu kule ni mtaji tosha, haitaji sijui mtaji wa kura 20,000. Mtatizo kila kona....watu wamejituma kulima alizeti bila masoko..masoko yao ni barabarani.Barabara mbovu hakuna mfano, magulio yamekuwa hayana tija kwa maskini, mazao hayana bei na watoto wana shindwa kwenda shule.Maji ndo tatizo kubwa zaidi, siyo ya binadamu wala mifugo......Shida ya Iramba ni elimu ya uraia.Dada'angu aliwahi kuniambia kuwa Mbowe 2005 alitoa ahadi nyingi pale shelui na watu walijaa lakini mpaka sasa hajatimiza hata ahadi moja
 
vizuri sana ila kwa sasa ungefanya kazi ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi wako ili 2015 ikifika kazi iwe rahisi ya kuchunga kura
 
Mayu weka mawasiliano yako kamili ili tuanze kukufanyia kampeni kwani tupo wengi tu tunaotoka jimbo hilo hasa pale shelui. kwa kweli huyu fataki mwigulu(jina lenyewe si la kwake) itakuwa ni aibu kama ataendelea tena kuwa mbunge 2015
 
Tuwasiliane kwa karibu mayu pamoja ili tulichukue hilo jimbo 2015 kutoka kwa huyu fisadi mzinzi
 

We channgudoa unawashwa? bangi hiyo uanze kuvuta ww kisha umpasie........? njoo nikupe dawa utulie kuwashwa.
 
Mkuuhakuna haja ya kuwindana...tujipange, tu-mobilise na tuanze kazi mapema,tunakutana ana kwa ana na Mwigulu na tunamchana live.Mi nina majembe yanguleavers wa pale Shelui Sec, Kinampanda, Lulumba na Luluma!Hawa sio mitumba yaCCM ila wamekosa mtu wa kumtanguliza tu...unakuwa Slaa, na ninakuwa Mbowe,Tundu Lisu, Lema,Zito na Mnyika wapo hata humu
 
Wewe Shardcole naona ni gamba la ukweli,nyamagana sahau...kagombee jimbo la mchambawima....maeneo ya CDM hayanyakuliwi kwa dizaini hiyo.....dogo kaplan maendeleo kwa wananchi wake...Nyie magamba miaka 50 ya watoto wa shule kukalia sakafu....potea hii sio saizi yako...
 
Jamani makamnda wa Jf! Sio mimi shardcole nilopost huo upuuzi wa kigamba bali kuna limtu hapa internet cafe ambalo niligamba limetumia username yangu kupost hizo comments zote za kipuuzi humu Jf,
NOTE
MIMI SIO GAMBA BALI KUNA WAPUUZI SIKU WANAINGIA INTERNET NA WAKIKUTA MTU HAJALOG-out WANATUMIA HIYO USERNAME KUPOST UPUUZI KAMA HUUU.
 
Hili tusiandikie mate tuombe uhai tu. Mimi similiki jimbo na kura nilizopewa ilikuwa 2010 - 2015. Wanyiramba wakiona kuna haja ya kuniongezea mkataba watanipa mkataba huo wakiona wanamwingine watampa. Kwa sasa nafanya niliyoahidi binafsi kadri ya uwezo, nafuatilia ahadi za serikali na pia kuwakilisha. Habari ya mteremko au ugumu wenye mamlaka ni wenye kura nao hawajabinafisishwa. Natamani kwa sasa mjadala ungekuwa mpango upi unamanufaa na wapi pamepungua nini na nini kiboreshwe haraka kwa manufaa ya Iramba. Lengo na liwe maendeleo sio kugawana vyeo lazima unapofanya sub uwanjan ujue anacheza amepwaya nini na sio kwa anayeingia akatoke jasho. Bibilia inasema wapumbavu ndio wasemao kesho nitafanya hili ama lile.....nani anamkataba na mungu kwamba atakuwa hai. Hivi ukibaki na nia yako kwa sasa ukanipa mawazo nisaidie jimbo ukajitokeza hata 2014 hautakuwa umesaodia zaidi wanairamba kupata faida. Nukwenda ugenda ukuleta imilamu. Anayedhani jimbo liko wazi na ajiandae wanairamba watasema nani yuko sahihi.
 
Mwigulu nina mashaka kuwa hata kura za maoni ndani ya chama chako kama zitatosha 2015.Hata wanachama wenzio wamechoshwa na uhuni wako na kauli zisizo na mshiko.
 

Hahahaha!usiwe kama Ronaldo ambaye huwa atakikutolewa.Maji yamezidi unga unaweza kuhukumiwa sababu ya Chama.Vipi wanairamba nao wanapenda porojo kuliko sera?
 

Hakuna haja ya kutoa ushauri.lini wanaokitumikia chama kilichojipa tumaini la kutawala milele.kwao hao ushauri mwema ni matusi.iramba magharibi haiwezi ikawa uwanja wa majaribio ya siasa uchwara.sarakasi zinazopigwa za kifisadi pale,ukomo wake ni huu mkakati wa kisayansi uliokwisha anza tangu january2012 to 2015.kukomesha ahadi zinazo dhalilisha wazee wetu.miaka nenda rudi.lengo kuu la uzi niliouweka ,ilikuwa si kulumbana .bali nimeamua kuomba ushauri wa mahakama kuu yaani wananchi wa iramba marg.hof ya nini cheza upande. Wako.nasi.elimu hii ya uraia na historia itahukumu.Mungu ibariki Tanzania.Mungu.ibarik.iramba magh.
 
Mwigulu nina mashaka kuwa hata kura za maoni ndani ya chama chako kama zitatosha 2015.Hata wanachama wenzio wamechoshwa na uhuni wako na kauli zisizo na mshiko.

Niliona niongee kistaarabu umefanya utafiti wa watu wangapi hivi hili ni la kubishana. Tusubiri muda majibu yake tutayapata. Ni upunguani kubishana zitatosha au hazitatosha kama vile kura ziko sandukuni au kama tuko mioyon mwa wapiga kura. Jimbo lina zaidi ya wapiga kura laki moja tunasema wamechoshwa kwa tamko lipi. Naisubiri kwa hamu hiyo
 
Yaelekea wengi humu hata hawajui ugumu wa uchaguzi. Kutoa maneno humu si sawa na hali halisi ya kugombea, naona mnafurahisha jukwaa tu. Kumtoa mtu kwa kutaka eti ushauri humu ni kujilisha upepo tu. Mimi nawaonea huruma kushindana na Nchemba. Uliza watu 10 aliowapiga chini walikuwa wa aina gani, ha alikuwa ndiye hana pesa kuwashinda wale,,ndipo na wewe ujipime.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…